Watoto wanazaliwa wakiwa na majina tayari

Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,251
2,863
Kwasababu haiwezekani katoto eti kana miezi mitatu halafu unakaita "zakaria.....we zakariaaaaa"...halafu kanaitika naaaam!!...au kanageuka kanakuangalia!!!tukubali kuna nguvu zaidi ifanyayo haya...hutaki we mbishi sasa,sijajua nizame dini/dhehebu gani....au kwa mkuu Muhamed said??
 
Back
Top Bottom