zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
- Thread starter
- #21
Jana nilichelewa kulalaNdugu najua hii mada yako umekurupuka nayo bila kuifanyia research hata kidogo.
Siku nyingine usifanye hivyo.
Nakushauri uende ukafanye research angalau kwa shule mbili tu nina hakika utakuja kukanusha mwenyewe ulichokiandika hapa.
Nahisi ndo tatizo lakini I'm still a newcomer in JF so nilikuwa na test mitambo nimediscover we have Great Thinkers here In JF ndo lilikuwa lengo hapo so next time ntakuja na critical threads