Watoto wanaosoma shule za English medium hamna kitu kichwani

Ndugu najua hii mada yako umekurupuka nayo bila kuifanyia research hata kidogo.
Siku nyingine usifanye hivyo.
Nakushauri uende ukafanye research angalau kwa shule mbili tu nina hakika utakuja kukanusha mwenyewe ulichokiandika hapa.
Jana nilichelewa kulala
Nahisi ndo tatizo lakini I'm still a newcomer in JF so nilikuwa na test mitambo nimediscover we have Great Thinkers here In JF ndo lilikuwa lengo hapo so next time ntakuja na critical threads
 
Ndugu mleta mada inabidi uende shule maana inaonesha hujui tofauti kati ya English Medium Schools na International School kukuelimisha tu English Medium ni shule inayotumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na International School ni shule inayotumia mitaala ya kimataifa mfano IGCSE...international schools ni chache sana i.e IST, ISM, Laureate International School, Braeburn etc...
 
Wakati mwingine negativity brings positivity I think kama hujui unahitaji kujua kupitia watu...
So huwa nafurahi ninapojifunza Big 5
 
Ndugu mleta mada inabidi uende shule maana inaonesha hujui tofauti kati ya English Medium Schools na International School kukuelimisha tu English Medium ni shule inayotumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na International School ni shule inayotumia mitaala ya kimataifa mfano IGCSE...international schools ni chache sana i.e IST, ISM, Laureate International School, Braeburn etc...
Kwahiyo MTU akihitimu kwenye hizo international schools anaajiriwa huko huko Ughaibuni au anaajiriwa Tz
 
Kama vitu hujui usikosoe..ni heri kuuliza...humu JF wako ma mamba na wabobevu wa kila sector..na izi I'd zinasababisha watu wakupe makavu tu ukimbwela......muda unao..tengua kauli
 
Kama vitu hujui usikosoe..ni heri kuuliza...humu JF wako ma mamba na wabobevu wa kila sector..na izi I'd zinasababisha watu wakupe makavu tu ukimbwela......muda unao..tengua kauli
Kasema yeye ni mgeni next time atakuja na data halisi
 
No nimemanisha international schools hizo hizo nikizingatia kuwa wote ni wanafunzi wa kitanzania haijalishi mode of learning au the type of sllyabus used!
Wewe jamaa hujui unachoongea au kukipondea.
English Medium ambazo siyo International Schools nyingi zimajaa watanzania lakini International schools zenyewe nyingi zina mchanganyiko na raia wa kigeni wengi sana.

Hii kauli yako ya kusema "international schools hizo hizo nikizingatia kuwa wote ni wanafunzi wa kitanzania" siyo sahihi kabisa.
Ninyi watu mliosoma hizi shule za serikali za Swahili Medium of Teaching kama mimi au ambao watoto wenu wanasoma shule hizo mna wivu wa sizitaki mbichi hizi na kujifariji sana.
Halisi tofauti sana na udhaniavyo inategemea na akili ya mwanafunzi mwenyewe kama kichwa kizito au hapendi shule basi huyo atakuwa ovyo shule yeyote ile na lugha yeyote ile.
 
No nimemanisha international schools hizo hizo nikizingatia kuwa wote ni wanafunzi wa kitanzania haijalishi mode of learning au the type of sllyabus used!
Hebu tuambie idadi ya International schools zilizopo Tanzania.

Wewe unakaa Mwananyamala hao watoto wa International Schools umewaona wapi? Maana wengi ni watoto wa mabalozi na kina Mo Dewji.

Tofautisha hizi shule za St.Maryz, Tusiime, n.k na hizo shule za kimataifa kama IST-International School of Tanganyika.
 
Jana nilichelewa kulala
Nahisi ndo tatizo lakini I'm still a newcomer in JF so nilikuwa na test mitambo nimediscover we have Great Thinkers here In JF ndo lilikuwa lengo hapo so next time ntakuja na critical threads
Unajaribu vitu vya kitoto ambavyo pia hukutakiwa kuja navyo humu
 
Watoto ama wanafunzi wanaosoma International school kichwani hamna kitu wanachojua ni kuongea kiingereza tu...

Ila other subjects nothing kabsa yaani hata wa shule za kata bora wana uelewa mkubwa!
Umefanya utafiti kwa shule ngapi ambazo ni za kimataifa (IS)?

Tuwekee final Research report hapa
 
Sio International School hata English Medium bado ni bora kuliko wa Mtakuja Primary school
 
Imani hiyo ilikuwapo zamani hasa kwa kuzingatia masomo pasua-kichwa kama vile Sayansi na Hesabu. Waliokuwa wakihama toka International Schools kuja St. Kayumba, walikuwa wanatema ung'eng'e mithili ya Bazungu, lakini ikija kwenye namba au physics au chemistry, wanachemsha...

Nadhani mtoa mada anajenga hoja yake kwa msingi huo.

Shule za kimataifa zinamjenga mwanafunzi kwenye aina zote za akili (IQ, EQ na AQ), kwa mfano, tofauti na shule zetu hizi zingine ambazo hung'ang'ania vipengele vya IQ tu (kukremisha ili wanafunzi wapate maksi nyingi), shule ishike namba nzuri, wazazi wagombee kuleta watoto wao shule hizo, wenye shule wapige hela.
 
Watoto ama wanafunzi wanaosoma International school kichwani hamna kitu wanachojua ni kuongea kiingereza tu...

Ila other subjects nothing kabsa yaani hata wa shule za kata bora wana uelewa mkubwa!
Mmh
Hata hao wanaosoma international huwa wanajiona smart sana na wanawabeza wenzao wanaosoma kata kwa kujidai na vi English vyao wakati kichwani hamna kitu
Dah
No nimemanisha international schools hizo hizo nikizingatia kuwa wote ni wanafunzi wa kitanzania haijalishi mode of learning au the type of sllyabus used!
Mkuu sijui nikuulize wewe unamaanisha nini anaposema international schools??
Halafu wamekukwaza nini kikubwa hawa wa international schools? Maana umewajumuisha wote kuwa vilaza japo hujatoa data kuthibitisha hilo😃😃
Post yako imekaa kiaina flani hivi kiasi kwamba mtu anaweza ona ina hasira au chuki kwa hao unaowazungumzia
 
Wewe hujui kwamba hata kingleza ni somo??

Kwa hiyo kuongea kingleza pia ni kwamba wameiva.

Na elimu ya Tz Kiingereza ndiyo kila kitu.

Acha wivu
 
Back
Top Bottom