Hapo ni wapi mkuu?
Yah.......maraha yenye kichocho..........
Yah.......maraha yenye kichocho..........
Mbona hapo ni kama fukwe ya bahari???
Si ndio na mimi nashangaa, nikiangalia kwa umakini naona kabisa hapo ni ufukweni sasa kichocho na maji chumvi wapi na wapi japo sijasoma biology.
mama zao wapo wapi?
Haa haa haaa.. Chezea watoto wa mandazi road/ uwanja wa magunia na bonde la mpunga weye.. hao ni wanajeshi japo hawana magwanda hawahitaji waangalizi. (Joke)
Yah.......maraha yenye kichocho..........
Dada baharini hakuna kichocho sana sana hatari iliyopo ni kung'atwa na ngadu kwenye vikojoleo.Yah.......maraha yenye kichocho..........
Dada baharini hakuna kichocho sana sana hatari iliyopo ni kung'atwa na ngadu kwenye vikojoleo.
He he.......kwa taarifa yenu Moshi hatuna bahari.....mimi ninachojua hapo kuna kichocho.......kama hakuna basi ni huko kwenu......tena muniwache nipumuweeeeee.....khaaaa
Heheee. Kuna mito tu sii ndio?