STALLEY
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 622
- 219
Jamani ndugu zangu naombeni maujanja ni mbinu zipi ambazo mimi mtu wa kawaida kipesa naweza kuzitumia kupata mtoto mkali.sababu kuna rafiki yangu yeye kiukweli kipesa yupo kawaida lakini watoto anaowapata hakya mama ni wakali balaa nimejaribu kumuuliza lakini hanipi majibu ya kueleweka.naomba kwa mwenye maujanja ajaribu kunipatia sababu hili swala la pesa linaninyima haki yangu mimi kama binadamu