Bossman kumbe unasomaga NY Post?
Ila hao watoto naona hawajielewi kama vile ambavyo wazazi wao wasivyojielewa.
Uhusiano wa Will na Jada uko kidizaini dizaini....kwa hiyo mi naona kuwalaumu au kuwakosoa hao watoto si kuwatendea haki.
Huenda wamerithi hivyo vi sifa bainishi kutoka kwa wazazi wao.