William J. Malecela R I P Joined Apr 27, 2006 Posts 26,584 Reaction score 10,466 Oct 28, 2008 #81 Hapo ndipo unapokosea, wapi mimi nimewalaumu hao vijana moja kwa moja? Mimi napinga uchunguzi uliofanya na BOT kwamba ulikuwa ni udanganyifu. Click to expand... Why bother kuwa na chuki binafsi wakati hata nikitaka ajira hapo BOT nitapata tu kwa kutumia qualifications zangu? Click to expand... Hoja hapa ni BOT na watoto wa Vigogo, Click to expand... Ndugu yangu Mtanzania, ninaomba ku-retire na hu mjadala maana hizo juu zote ni quote zako mwenyewe, sina zaidi la kuongeza.
Hapo ndipo unapokosea, wapi mimi nimewalaumu hao vijana moja kwa moja? Mimi napinga uchunguzi uliofanya na BOT kwamba ulikuwa ni udanganyifu. Click to expand... Why bother kuwa na chuki binafsi wakati hata nikitaka ajira hapo BOT nitapata tu kwa kutumia qualifications zangu? Click to expand... Hoja hapa ni BOT na watoto wa Vigogo, Click to expand... Ndugu yangu Mtanzania, ninaomba ku-retire na hu mjadala maana hizo juu zote ni quote zako mwenyewe, sina zaidi la kuongeza.
Interest JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 3,434 Reaction score 7,096 Jun 6, 2016 #82 Alichoongea Ndullu humu, na anachoongea leo kwa Magufuli. Kweli unafiki ni kipaji aisee..