Mkuu hao wa 900 uswazi uwa hawapiti aisee
Ngoja waje wa 900 itapendeza uone kama hajasahau hizo laki mbili. Bado hajachangamka huyu endelea kumchangamsha mkuu.
Mkuu umewatofautisha vzr mnoHawanaga gharama kabisa, akiwa na madere yake manne ya elfu kumi natano kila moja na visimpo shuzi vyake vya elfu ishirini na malapa ya kuogea basi kabisa yeye tajiri.
Sio hawa, wanamaliza kamshahara kako kwenye chai na lanchi ya siku moja tu.