OK samahani kwa kuwaingiliaHakuna kinachonitesa ni vile huyo member niliemquote amenikumbusha utani huo tunautumia sana na rafiki yangu
Vipi wewe ni mgambo wa jf? Tukicomment tutoe na sababu au teh
Hakuna kinachonitesa ni vile huyo member niliemquote amenikumbusha utani huo tunautumia sana na rafiki yangu
Vipi wewe ni mgambo wa jf? Tukicomment tutoe na sababu au teh
Ajimegee tu saiz yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] , aisee ila hako kabinti nahisi kameona fursa hivi asije kujaribiwa mkuu, au asiwe na mfanyakazi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316] sikuwahi jua una maneno hivii eti mgambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]maana nimeona kama natakiwa nitoe maelezo hivi,sijaelewa mi mgeni teh
Nipe namba yake nimgegede chap, acha ujinga mgegede huyo bintiNilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.
Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)
Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!
Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
Huwezi amini namba yake sina, nawasiliana na dada yake kama nina maagizo, nimegundua nilifanya jambo la maana kutochukua wala kumpa namba yangu. Dawa yake ishachemka nitawapa mrejesho.
Hahaa, amesema siyo size yake ni katoto.Ajimegee tu saiz yake
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mkuu usiendelee kujitesa uta kuja tenda dhambi ambayo huja kusudia fanya mchakato binti arudi kwao epuka hiyo balaa
Uanaume ni kufanya maamuzi sahihi, bila kuzunguka kwa watu kuomba ushauri wa jambo dogo kama hiloUanaume ni kutembea na vitoto?
Kwangu ni mtoto. Mengine uliyosema siwezi kujua
Acha banaa, kwahiyoo....
Basi ngoja najua ntakukamatia wapi, ukisikia hodi ujue nimefika.
Sijui kwanini nimejikuta naside na huyo mschana kuhakikisha unaingia 18 zake bila shuruti aaahhahahahahahahhaaa
Kasie Mavurugu.
[emoji16] kwani haitopita ?Hahaa, amesema siyo size yake ni katoto.
same shit happens to those schoolgirls they want some ding dong but niggas get locked up for doing that lie isnt fairNilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.
Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)
Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!
Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
Wewe ni pungaSiwezi kutafuna mtoto. Sina ukame kihivyo.