Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,265
- 2,153
tunakumbushana tuSasa wewe old story unazileta tena saiv?!
tunakumbushana tuSasa wewe old story unazileta tena saiv?!
Ni Nzuri sana hao wazazi akili KUBWA.kweli kabisa,nimeona hiki ulichoandika kwa macho yangu Nikadhani ni matumizi mabaya ya Pesa ila ile nyumba watoto wote watatu kila mtoto ana chumba chake tena master na Tv ndani.
Dada wa kazi watatu wote kila dada ana chumba chake...sebule ziko 3 zote ni COMPLETE SITTING ROOMS..umeandika life nililolishuhudia kwa macho yangu.
Hapa ndio naelewa kwanini wale watu wanafanya vile.