Watoto wa siku hizi mh?

Kwa maelezo ya baba kumvuwa binti wa miaka 15 na kumchapa na binti kuwa mtukutu kiasi hicho, inaonesha kuwa baba ana fetish zake na ameshamfanyizia huyo binti, ndio maana binti hana hata heshima, atamuheshimu mtu anae mfanyizia?

Kwa sheria za Tanzania huyo binti kesha fikia umri wa kuolewa na si mdogo tena na kwa kuwa kisha onja "bakora" hakuna cha kumzuwia.

Wamwache tu, akale bakora mpaka zimvimbishe (mimba). Atatulia.
 
mkuu kwa sheria zetu huyu bado ni mtt mpaka akifikisha 18 ndio anaweza kuolewa na kujitegemea
 
mkuu kwa sheria zetu huyu bado ni mtt mpaka akifikisha 18 ndio anaweza kuolewa na kujitegemea

Naomba tusibishane kwa hilo, tena nakuomba sana. Nina uhakika na nikiandikacho. Umri wa kuolewa halali Tanzania ni miaka 14 au chini.
 
mkuu kwa sheria zetu huyu bado ni mtt mpaka akifikisha 18 ndio anaweza kuolewa na kujitegemea

Dr. Phone, najuwa umebobea kwenye kuchakachuwa ma-fone, huki sikupati hata kidogo. Lakini hapa, mnhhhh, hebu soma hii:

Tanzania Marriage Age: under Marriage Act 1971 minimum age is 18 for males and 15 for females; courts may permit underage marriage of parties who have reached 14 years of age if specific circumstances make marriage appear desirable; Penal Code provides that persons of "African or Asiatic descent" may marry or permit marriage of girl under 12 years of age in accordance with their custom or religion if marriage is not intended to be consummated before she attains 12 years
 
Jamani leo nimepitiwa na jirani yangu akaniomba nimsindikize police nilipomwoji kuna nini akaniambia binti yake amemshitaki na jana ucku police walikuja na defender kumpa taarifa anaitajika na mkuu wa kituo bahati nzuri alishanisimulia kisa cha binti yake ni mdogo ajafikisha miaka 15 lakini visa anavyofanya siwezi kusimulia kalifeli la saba babayake akamlipia arudie la saba tena usiku alikuwa alali ndani anakokwenda aijulikani mpaka alipofumaniwa baba ni mkali ni mkurya akipiga anapiga kweli na anamvua nguo zote kibaya zaidi alitoroka om kama wiki baba akatoa taarifa police akapewa rb mtt alipokuja kuonekana aliyosimulia ni aibu tupu akasamehewa akarudi om ajachukua mda alipoona baba anazibidi ile mianya yake yakufanya ufisadi ikiwemo ya tuishein baada yakubainika alikuwa na mahusiano na mwl anayemfundisha ndipo alipoamua kutoroka tena akakimbilia kwa jirani kina mama wa mtaani wenye bifu na baba yake wakamshauri akashitaki polic wakampa na maelezo yakutoa uku wakitamba atakoma tulipofika polic leo tulipokelewa vizuri sana na mkuu wa kituo kizuri zaidi mkuu hyo akatusimulia chake cha wiki2 zilizopita kwamba binti yake amemsumbua kuliko wa jirani yangu alitusimulia tukaona kesi yetu ni kiduchu na alipiga mpaka akazimia alizindukia amana so kesi ilienda softi binafsi nilifurahishwa najinsi alivyo tuhudumia
Katoto ka chini ya miaka 15 si ni bado kananuka mikojo jamani? Huyo mzazi wake amechukua hatua gani zidi ya huyo mwalimu wake?

Maana huo ni ubakaji! Mchukulieni hatua za kisheria na mwambie huyo jirani yako mtoto anaelimishwa na siyo kupigwa kama anavyo fanya yeye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom