Watoto wa siku hizi mh? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa siku hizi mh?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by drphone, Feb 4, 2011.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Jamani leo nimepitiwa na jirani yangu akaniomba nimsindikize police nilipomwoji kuna nini akaniambia binti yake amemshitaki na jana ucku police walikuja na defender kumpa taarifa anaitajika na mkuu wa kituo bahati nzuri alishanisimulia kisa cha binti yake ni mdogo ajafikisha miaka 15 lakini visa anavyofanya siwezi kusimulia kalifeli la saba babayake akamlipia arudie la saba tena usiku alikuwa alali ndani anakokwenda aijulikani mpaka alipofumaniwa baba ni mkali ni mkurya akipiga anapiga kweli na anamvua nguo zote kibaya zaidi alitoroka om kama wiki baba akatoa taarifa police akapewa rb mtt alipokuja kuonekana aliyosimulia ni aibu tupu akasamehewa akarudi om ajachukua mda alipoona baba anazibidi ile mianya yake yakufanya ufisadi ikiwemo ya tuishein baada yakubainika alikuwa na mahusiano na mwl anayemfundisha ndipo alipoamua kutoroka tena akakimbilia kwa jirani kina mama wa mtaani wenye bifu na baba yake wakamshauri akashitaki polic wakampa na maelezo yakutoa uku wakitamba atakoma tulipofika polic leo tulipokelewa vizuri sana na mkuu wa kituo kizuri zaidi mkuu hyo akatusimulia chake cha wiki2 zilizopita kwamba binti yake amemsumbua kuliko wa jirani yangu alitusimulia tukaona kesi yetu ni kiduchu na alipiga mpaka akazimia alizindukia amana so kesi ilienda softi binafsi nilifurahishwa najinsi alivyo tuhudumia
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hamna mtoto tena hapo,cha msingi ampe tu uhuru wake anao utaka, ipo suku atajutia na siku zote mshahara wa dhambi ni mauti,yeye mzee ajiandae tu kulea wajukuu wasio kuwa na baba, na ajiandaye na kuzika,
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa haraka unaweza kufikiria hivyo ila kama mzazi inakuwa ngumu sana maana kunamsemo usemeo mtt akinyea mkono utaukata au utaufuta?
  ila bado mapema sana kunauwezekano wa kumrekebisha na akarudi kwenye laini mfano nimekaa nae sana tumeongea sana nimemkanya sana nikampa faida na hasara anazoweza kupata eg mimba ukimwi kukosa mwelekeo kwakweli alijijutia na akaadi kujirekebisha
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Bandiko linaboa, halina nukta, koma na hata paragraph! Kweli huu ndio uandishi wa kileo
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ebu jisahihishe kabla ujasahihisha umemaliza kuandika mwisho ujaweka nukta.
  alafu alafu kama unataka mpangilio wa paragraph nenda jukwaa la lugha kule utakutana na mabingwa wenzako wa maparagraph ndio mana napenda JF limesheheni kila hitaji akuna atakaesema kaonewa jukwaa la matangazo, mapenzi, sayansi nk.
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mpe pole jirani yetu..afanye kitu kinaitwa "Tree method" ..aangalie root cause isije ikawa anatibu sympot
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni kweli mkuu na sasa ndicho anachojaribu kufanya kujua chanzo cha yote na zaidi nani anae mdanganya
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Umesema huyo baba anamvua nguo mtoto kabla ya kumtandika? Baba anamvua nguo binti wa miaka 15?

  Did I get that right?
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yes ndio mtindo wake wa uchapaji kuonyesha msisitzo unawajua tena cpendi kutaja kabila mara kwa mara ila nimemwonya acfanye ivyo ila mapigo asimyime
   
 10. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  naongezea, inaonekana mwandishi hajuwi matumiza ya h, anachapia tu, sijuwi kifimbo yuko wapi jamani. Hafu, hawa wanao post mada bila kuzingatia matumizi sahihi ya herufi H waniboa sana, utakuta neno ku-ha-ribika anaandika ku-a-ribika.

  jaribuni kurekebisha msituingizie lugha zenu za asili kwenye kiswahili.
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ebu soma vzuri post yako cjui ni macho yangu Mfano hujuwi Matumiza hicho kiswhli au kilugha jisahihishe kabla ujasahihisha sio lazima kuchangia kila post nyingine potezea sio kudandia dandia wote vilaza mana mmchaPia atajukwaa la lugha amfai
   
 12. c

  carefree JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Huyu baba kama anamchapa binti akiwa mtupu isijekuwa naye analia wivu anajidai kumfunza adabu kwa kumvua nguo ? Hapo mhoji jirani atakuwa na majibu tu
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aaah nimemwoji nikwamba anakuwa na hasira na anapofanya ivyo inakuwa hadharani
   
 14. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona mambo yenyewe yapo nusu nusu?
  Kituo gani?
  Mkoa gani?
  Wilaya gani?
  ................?
  Sio umbea humu weka wazi nasi tumjue wazi wazi.
   
 15. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkoa dar wilaya ilala kituo cha polic post mkuu nitake radhi umbea umekujaje
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Acha ubishi bana
   
 17. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nina mashaka kama wewe ni mzazi????!!!!!????
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu sio ubishi yy ananikosoa wakati na yy kakosea pia ebu soma post yake
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani bora mkurya anaechapa
   
 20. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #20
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Ulimsikia yule Ustadhi aliyekuwa anasema kwamba huyu siku hizi ana watto wengi sana,kwa sababu kila siku anasikia watu wanasema watoto wa siku hizi,sasa,huyu siku hizi ana watoto wanagapi?
  Lakini jana katika tv katika hotuba za Ijumaa yupo Ustadhi mmoja alikuwa anaongea maneno mazuri. Ustadi Sululu Salim,alikuwa anasema;Mtume Mohamed amesema,kuna dastole na systole katika moyo,makamuzi ya moyo ya kusinyaa,na ya kutanuka. Mtu akiwa amelala,moyo unadunda mara 60 kwa dakika,akiwa amekaa,mara 72,akiwa amesimama,mara 80,au whatever.
  Sasa mtu moyo wake unasinyaa na kutanuka huku anafanya maasi dhidi ya Mwenyezi Mungu,unasinyaa na kutanuka huku anamkufuru Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo we must train ourselves kwa kusema kwamba,''Moyo wangu utatanuka kwa upendo,moyo wangu utasinyaa kwa upendo;moyo wangu utatanuka kwa huruma moyo wangu utasinyaa kwa hutumalmoyo wangu utatanuka kwa unyenyekevu,utasinyaa kwa unyenyekevu.''
  Of course mapigo ya moyo ni subconcious activity controlled by the autonomic nervous system. Lakini,still,inasaidia kafanya practices kama hizi.
  Haya mambo anayosema Mtume ni kama wanayosema yogis ambao wamemtangulia,ambao,wanapofundisha breathing,wanasema''I will breath in controlling the mind,I will breathe out controlling the mind.'' The one ia aimed at the emotions,at the heart,the other is aimed at the breath.

   
Loading...