Watoto wa pande za Kibaki Kenya hakunaga, warembo kupitiliza

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

kuanzia Nairobi, Machakos, Mombasa, Malindi, Thika, Nakuru, Eldoret etc kila unayemuona mzuri
 
Mbona hao mabint waliovaa magauni black halafu wanajiangalia makalio ni watoto wa prof.Juma kapuya so acha kutudanganya
 
Bwana acha mbwembwe hata kwa Kikwete mbona hao wapo tena wengi tu,akina Jokate,Sepetu,Anti,Agnes Masogange na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza.Au we bado hajawaona??????????
 
Unafaa sana,na kwa ilo nakuunga mkono.Watoto wa kibongo ni nomaa.
 
hujaona totoz za kibongo wewe! Sio wale wanajiuza kwenye bongo movies au bongo flavor no! Pita tu kitaani utawaona wanavyowaka
 
Na we TUKUTUKU mbona unakuwa hivyo?kwani bongo hawapo?tena mi naona ni wakali kuliko hao wa kibaki.Au hujaona??????????
Mkuu labda mimi sina bahati,maana nimezunguka sana lakini kwa bahati mbaya sijawahi kuona,mimi nakutana na mipoyoyo tu!
 
hiyo ya mademu wamesimama wameshika bottles ni wabongo, kama two yrs back ilikua miss high learning Dodoma, acha urongooo!
 
hujaona totoz za kibongo wewe! Sio wale wanajiuza kwenye bongo movies au bongo flavor no! Pita tu kitaani utawaona wanavyowaka
Mtaani ndiyo maeneo tunayoishi,labda huko jolly club sijafika!wengi niliyokutananao mimi ni wa kawaida sana!
 
Sijui mimi ni mbaguzi au vipi,sijawahi ona mwanamke mzuri kuzidi mwanamke wa kiTanzania pamoja na kutembea karibu dunia yote...

tembea uone,tuwasiliane nikutembeze kwa gharama uone,kenya wanatisha pia kwa watoto,pia pande za bahir dar na addis ababa,na ukija asmara watoto mashalah
 
Mkuu labda mimi sina bahati,maana nimezunguka sana lakini kwa bahati mbaya sijawahi kuona,mimi nakutana na mipoyoyo tu!
Haaaaahaaaaaaahaaaaaaaa pole sana mkuu,hata kwenye magazeti hujawahi kuwaona jamani basi kweli we una mkosi,afu kwanza ushazunguka wapi na wapi weye??Ila ongeza kuzunguka utawaona tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…