Emok Jr
JF-Expert Member
- Mar 17, 2018
- 1,094
- 800
Source: Azam news
Watoto Igoma jijini Mwanza wameingiwa na kapepo kakufumuana marinda cha kusikitisha ni kuwa hawa watoto ni umri wa miaka 12 - 22 ambao ni umri wa shule.
Pia geto lao ni kwenye mapango jirani na yale mawe ya Mwanza ndo chumba chao.
Ushauri: mchunge watoto wenu.
=====
NGONO ZA JINSIA MOJA MWANZA ZAOTA MIZIZI: Hofu imetawala kwa wazazi na walezi wa Kata ya Igogo Mwanza kufuatia kuzuka kwa tabia za baadhi ya wavulana kujihusisha na vitendo vya ngono za jinsia moja kinyume na maadili.