watoto wa mjini wanasema ngoma droo

watoto wa mjini wanasema ngoma droo

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
Jamaa kapeleka gari lake kwa fundi
lipakwe rangi.
Fundi: Nilipake rangi gani?
Jamaa: Yoyote ile isipokuwa
nyekundu, nyeupe, bluu, manjano,
kijani, wairdi, nyeusi, chockleti,
kijivujivu, maziwa, zambarau,
kahawia na ya chungwa. Lini
utakuwa umemaliza nije kulichukua
nianze kupiga misele?
Fundi: Njoo siku yoyote ile
isipokuwa Jumatatu, Jumanne,
Jumatano, Alhamis, Ijumaa,
Jumamosi na Jumapili.
 
Mhhh!!? Hiyo kweli nakubaliana na wewe mkuu kwamba ilikuwa ngoma droo. Haina ubishi kabisa.
 
Hahaha inachekesha kwel ngoma droo nan kakomeshwa mwenye gari au fundi
 
Kapatikana sana huyoo kakutana na mjanja mwenzie

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom