Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
- Thread starter
-
- #141
Ulichofanya hapa ni kuongea na sasa hii ni AIBU
Unajipa standard ya juu sana na hao wenzako ambao hamuongei na waliosoma kwa Ndosi na kisha unakesha hapa JF kuongea na waliosoma kwa Ndosi.
Kama hutaki kuongea na waliosoma kwa Ndosi (BTW mimi si mmoja wao) basi ungekuwa na blog yako ya "watu wa mjini" na "wasiongea na waliosoma kwa Ndosi" kama mwenzako alivyoanzisha ya kwake akiita taifaletu wakati akiishia kufanya plagiarism.
Majigambo ya bure...... unajiweka standard ya juu ukidharau wenzako na kusifia kuishi Dar kabla na muda mfupi baada ya uhuru as if that's the only qualification ya kuwa mtoto wa mjini.
Labda thread hii mngeiita ya wazee wa mjini Dar au ya watoto wa mjini Dar waliozaliwa kabla na muda mfupi baada ya uhuru wa Tanganyika.
yale yaleee
Bahara gai anazungumza ka Shakespare? ndio maana nikasema FREDY MACHA hajakaa bichi yule alikuwa ni mtoto wa kishua na wakampandisha kwenye meli za wa watalii...na narudia kwa sababu wachagga wajanja wajanja yule atakuwa alipelekwa direct wa FIRST OFFICER kuwa tutazamie mwanetu huyo
Lakini si mtu ambaye alikaa Capetown enzi za Pik Botha anasubiri pipa kama wengine
in short record ya Ubaharia ya Fredy Macha iko "QUESTIONABLE"
The Jury is out on this
Hiyo ni Dar wakulu enzi hizo....sio sasa imejaa wabangubangu....mnanikumbusha sana......kulikuwa na ule ushindani wa upande gani wa jiji umetoa mabaharia wengi.....mitaa ya migomigo au Temeke??
By the way GT
Unaongelea ile ya mtaa wa Uhuru au? karibu na gas station isiyokauka mafuta ya taa au nyingine?
mhhhh nitawalipa vipi wakati box lenyewe ni la kimitikasi?
jamaa kila nikimpigia simu hapokei nampata mkewe noma tupu box limegoma lakini potelema mbali najua ARSENAL watapigwa bao tuuu sasa its not even worth kuutazama mpira wenyewe
sema tatizo nitakuwa siwezi kupata MAPILAU si unajua tena box lenyewe linakuja full mziki...mambo ya kaina Sara Jay,sijui Devoe sijui, Pinky sijui nani siui basi ahh we acha tuuu
ndio maana nimeona nitinge tuu humu kijiweni
Chill out Mrembo,
Hayo maneno tu,GT unakuzuga muda mwingine tuna hitahi kitukingine zaidi ya seriousness ya politics.
Hapa kijiweni kama mtu anaku-annoy nyamaza
MWAZANGE,mabaharia wa temeke walikuwa wanatembea na mguu mpaka ugiriki,kufika majaliwa,maana njiani unakutana na john garang.mabaharia wa migomigo walikuwa wanastow away,wengi wametupwa baharini.mabaharia wa upanga walikuwa wanapanda ndege kuzifuata meli hukohuko umangani
Ha ha ha,Hii ndio ilikua DASLAM,
Walioshindwa kupanda meli waliishia kuuza MAGENDO (sigara) na kucheza mpira yanga na simba.
HNdio hiyo hiyo heoteli ya WATINDIKA ile kila ukipita pale wanajidai wao wa Zaire hawajui kiswahili tena iko nyuma ya hoteli ya RIKI HILL
game theory,unamwambia pundit,kwamba box lenyewe la mitikasi? pundit hakuelewi maana yeye anaonekana ni mtu straight,no shortcuts.
mwafrika wa kike naona kama umechanganya thread,naona hili baraza halikufai
si kweli
walioshindwa meli waliiishia kwenda SHAMBA DOGO
get your facts right
biashara za magendo zilikuwa za wachagga waliokuja mjini pale kufungua maduka
umeona mzaramo au mndengereko gani akawa na akili ya kukaa kutwa nzima anasubiri watu waje kununu kitu dukani?
game theory,unamwambia pundit,kwamba box lenyewe la mitikasi? pundit hakuelewi maana yeye anaonekana ni mtu straight,no shortcuts.
mwafrika wa kike naona kama umechanganya thread,naona hili baraza halikufai
Sana tu sio lazima kila thread awe anazungumziwa Yona na Mkapa.....Hapa ni kama ulishawahi kuzuga mitaa ya kati, kufanya dili za hapa na pale ofisi mkononi, na kuwa mtu wa maskani ndo unakaribishwa....
Kama wewe ulikuja Dar kumsalimia mjomba wa TRA ukawa geti kali ili usifundishwe uhuni....wewe pitiliza tu....sio penyewe hapa.
Mkuu nadhani umesahau kuweka maneno kuwa.... kama ulikuwa Dar muda mfupi baada ya uhuru wa Tanganyika. Au maneno kuwa ... kama wewe una umri zaidi ya miaka 50 basi changia hii thread.
Kwa misingi hiyo... hii thread inahitaji title mpya
Dadaaa hili wala halihitaji age range.....kama utakuwa umeifuatilia, watu wameulizana watu, vitu na sehemu za aina mbalimbali na generations tofauti...kama kiulizwacho hakikutokea kwenye hood lako unakaa kimya unaipisha point ipite wewe unadakia ambayo inakuhusu...watu wanamove on...Just out of curiosity...unakuwa offended nini pindi watu wakiizungumzia Dar bila hata ya kufika Kibaha Picha ya ndege?
Kama ni hivyo sorry....
mama punguza munkhar,pumzika tu hii flow humu ndani,is beyond thee comprehension. many thanks