Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
kikubwa kiuno kitoshe 🤣🤣🤣Hiyo suruali ilikua inaitwa Pima juu chini kadiria!!
Kabisakikubwa kiuno kitoshe 🤣🤣🤣
alafu hiyo mama nyumbani analalamika na kukusema mbona umebana hiyo suruali kiasi hicho🤣Kabisa
Luksi zinakuaga pana sana..Hiyo suruali ilikua inaitwa Pima juu chini kadiria!!
Utasikia unaibana ili iweje nyumbani kwake hataki watu wanaovaa kihuni huni🤣🤣🤣🤣🤣alafu hiyo mama nyumbani analalamika na kukusema mbona umebana hiyo suruali kiasi hicho🤣
🤣🤣 ila Life style ya zamani ni nomaUtasikia unaibana ili iweje nyumbani kwake hataki watu wanaovaa kihuni huni🤣🤣🤣🤣🤣
Hatari sana, hapo ningeweza kutoa hata suruali tatu kwa ushonaji wa siku hizi🤣🤣 ila Life style ya zamani ni noma
No....Hiyo suruali ilikua inaitwa Pima juu chini kadiria!!
Sio zamani mkuu...🤣🤣 ila Life style ya zamani ni noma
we zamani yako ndio kabisa😅🤣Sio zamani mkuu...
Minafikiri kila jambo lina wakati wake, maana kila mmoja ana zamani yake..😊
Miaka ile nikiwa kijana tulikua tunavaa viatu vya Raizon, DH raba, Loso za wadada, chachacha, kungfushoes, suruali tulishona mtindo ulioitwa Pecos....😊we zamani yako ndio kabisa😅🤣
siku izi ni mwendo wa Gucci, Nike, puma na viatu flani hivi naona vijana wanavaa vikubwa kuliko miili yao 😅Miaka ile nikiwa kijana tulikua tunavaa viatu vya Raizon, DH raba, Loso za wadada, chachacha, kungfushoes, suruali tulishona mtindo ulioitwa Pecos....😊