Watoto wa Madonna walioasiliwa

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Madona akiwa na Banda
Madonna na Banda & Mercy
banda


Hivi wazazi wana nafasi gani kwa mtoto aliyeasiliwa (adopted)
 
 
Subirini mtoto atoke kimaisha hapo utasikia mm ni Shanghazi yake,mm ni kaka yake nimemlea,mm ni rafiki yake wa karibu sana tunacheza wote.mm ni mamdogo na Bamdogo ndiye nimepeleka kituoni kwa kulelea mayatima.ahahh
 
Toto la madonna (Rocco) linapiga ganja, unga na mipombee mbaya

Hafai kuwa mlezi wa watoto, hajatulia hata robo
 
Rocco ni mtoto aliyezaa na yule film directore mwingereza Ritchie?
Yeah..

Guy Richie alikuwa ananaswa vibao hadharani...hapo Madonna kafumaniwa halafu analeta ubabe...

Sasa sijui hawa watoto huwa anawaleaje na kile kiserengeti chake Jesus...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…