Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Noma sana kuna hizi..
Watoto wa mjini Dar waliamshwa na magoma hayo.
Kama ukucheza hayo na umri wako wa Sasa ni 40-50 elewa wewe sio wa mjini.
Sitaki kusema majina ya watu wenye majina yao maana leo wapo kivingine.
Otherwise kama ukuyapiga hayo ukiwa Dar elewa we mluga mluga tu sio wa mjini: Vinginevyo wenyewe tunajuana.
Mimi mtoto wa mjini na sizijui hizo. Niulize DR Dre,LL cool j,das efx,mobb deep,zhane,Davina,Adina Howard etc
Watoto wa mjini Dar waliamshwa na magoma hayo.
Kama ukucheza hayo na umri wako wa Sasa ni 40-50 elewa wewe sio wa mjini.
Sitaki kusema majina ya watu wenye majina yao maana leo wapo kivingine.
Otherwise kama ukuyapiga hayo ukiwa Dar elewa we mluga mluga tu sio wa mjini: Vinginevyo wenyewe tunajuana.
Mtakuwa mmetofautiana "definition", kwa maelezo yako hapo, unapaswa kuitwa "wakishua, mboga saba, geti kali n.k"Mimi mtoto wa mjini na sizijui hizo. Niulize DR Dre,LL cool j,das efx,mobb deep,zhane,Davina,Adina Howard etc
Umetofautiana sana na wewe, enzi za das efx , zhane etc ni early to mid 90s, wakati huo watu wa rhumba ni boz boziana , kanda bongo man soukous etcMtakuwa mmetofautiana "definition", kwa maelezo yako hapo, unapaswa kuitwa "wakishua, mboga saba, geti kali n.k"
Hizo zilipigwa sehemu zetu, chini kule kabisa, ukibahatika kwenda disco toto, ndo mashindano ya kucheza muziki!
Hizo ulikuwa unasikiliza na mabraza hivi, nini, sio? Nadhani rappers tulionao kwenye industry sasa, waliotoboa wengi ni wale waliobahatika kupita njia kama yako mkuu, unaafiki?
Nani walikuwa na access ya kujua hayo miongoni mwa watanzania wengi?Umetofautiana sana na wewe, enzi za das efx , zhane etc ni early to mid 90s, wakati huo watu wa rhumba ni boz boziana , kanda bongo man soukous etc
Akina koffi jb mpiana etc, wamekuja kuwika late 90s
Cant beat the hip hop and Rnb era ya mid 90, marehemu Dj ,Rankeem Ramadhan ,had the best play list
Negative.Mtakuwa mmetofautiana "definition", kwa maelezo yako hapo, unapaswa kuitwa "wakishua, mboga saba, geti kali n.k"
Hizo zilipigwa sehemu zetu, chini kule kabisa, ukibahatika kwenda disco toto, ndo mashindano ya kucheza muziki!
Hizo ulikuwa unasikiliza na mabraza hivi, nini, sio? Nadhani rappers tulionao kwenye industry sasa, waliotoboa wengi ni wale waliobahatika kupita njia kama yako mkuu, unaafiki?
Kama ulikuwa mjini access ilikuwa kwa kila mtu , sio kwamba hip pop ni ushuani na bolingo uswazi, music taste was randomly sharedNani walikuwa na access ya kujua hayo miongoni mwa watanzania wengi?
Hapo ndo hoja yangu ilipolalia
We Kikongwe kidogo sio wa enzi zetu.Mimi mtoto wa mjini na sizijui hizo. Niulize DR Dre,LL cool j,das efx,mobb deep,zhane,Davina,Adina Howard etc
Mji ulikuwa unaanzia wapi, mipaka yake, miaka hiyo ya 80's mpaka 90's?Kama ulikuwa mjini access ilikuwa kwa kila mtu , sio kwamba hip pop ni ushuani na bolingo uswazi, music taste was randomly shared
Huyo wa getini kweli lakini sio wa mjini. Wa mjini wapo kotekote; hizo nyimbo zake Abdul Msomali anatamba mjini.Mtakuwa mmetofautiana "definition", kwa maelezo yako hapo, unapaswa kuitwa "wakishua, mboga saba, geti kali n.k"
Hizo zilipigwa sehemu zetu, chini kule kabisa, ukibahatika kwenda disco toto, ndo mashindano ya kucheza muziki!
Hizo ulikuwa unasikiliza na mabraza hivi, nini, sio? Nadhani rappers tulionao kwenye industry sasa, waliotoboa wengi ni wale waliobahatika kupita njia kama yako mkuu, unaafiki?
Daah old is goldNoma sana kuna hizi..
Extra Musica(Shalai,obligatoire,Etat major)
Wenge Musica BCBG 4×4 Tout Terrain kabla hawajasambaratika 1997 nazungumzia Wenge ya Kina Blaise bulla,Alain Makaba,JB Mpiana,Werrason,Adolf Dominguez,Ferre gola,Didier Masela wakiwa na Atalaku wao Kina Fully King,Tutu Caludji likipigwa goma la Kalay Boing lazima usimame ucheze au lipigwe Dude lolote la Bozi Boziana na Choc star yake..Hapo ndipo utakubaliana na ile thread ya mdau kwamba watoto wa sasa wananyimwa dana burudani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unacheza wewe
Ulishawahi kwenda mashindano ya Don Bosco walikuwa wanachana rap way before Sugu, way before Tupac first movie ‘Poetic Justice’ and his rap career.
Wakati sisi tupo kwenye Reebok, Mwanafa anava ndala upanga na cousin wake mchina.
Watoto wadogo awaelewi ata hip hop scene ilivyoanza bongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mobb Deep moto mwingine.Mimi mtoto wa mjini na sizijui hizo. Niulize DR Dre,LL cool j,das efx,mobb deep,zhane,Davina,Adina Howard etc