Watoto wa Kizazi Kipyaaa.....dot com haaaaahaa

Watoto wa Kizazi Kipyaaa.....dot com haaaaahaa

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,661
Reaction score
9,968
Ucheke kidogo uongeze siku za kuishi.

Baba: We mtoto hebu niletee soda...

Mtoto: Cola au Pepsi?

Baba: Pepsi.

Mtoto: Kopo au Chupa?

Baba: Kopo.

Mtoto: Baridi au moto?


baba: Baridi.


Mtoto: Ndogo au Bonge?


Baba: Aaa! Basi niletee tu maji.

Mtoto: Ya bombani au dukani?

Baba: We mtoto nitakupiga?

Mtoto: Na mti au chelewa?

Baba: N'takuua nakwambia!

Mtoto: Kwa Rungu au bunduki?

Baba: Bunduki.

Mtoto: Kichwani au kifuani?

Baba, toka nje!

Mtoto: Sasa hivi au baadaye?

Baba: Sasa hivi.

Mtoto: Kwa hiyo maji hutaki tena?


Baba: (akasema kimoyomoyo) "nilimwambia mke wangu tukilewa tusifanye,
yeye anang'ang'ania, haya ndiyo matokeo yake..."
 
Hahhaha kizazi kipya unaweza ukalia hahah

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wako sawa coz wanahitaji kujua zaidi so uschoke kujibu maswali yao
 
yaan kwel dot com adi aliyeandka thread nae kakopy na kupest
 
Back
Top Bottom