Rwanda ina makabila mawili tu makubwa, Wahutu na Watusi lakini unawasifia hivyo, nadhani nchi ka TZ yenye makabila zaidi ya 120 ina wide selection of Dadas hao uliowaona kutoka familia moja huko Rwanda. Kipende chako, zunguka mikoa yote ya Tz uone kama hautasau hao wa Kagame. Halafu ukumbuke kuwa kila mtu ana vionjo na type yake, wewe inaonekana hizo slim ndio type zako.