Watoto wa kike,,tuwafiche wapi wasiyaone mapenzi

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,190
^^
Mwanzoni mwa juma hili,nilitembelea shule moja ya wasichana nikiwa na shida ndogo ya kiofisi hapo.
Jina la shule naomba nilihifadhi sina taaluma ya uandishi wa habari,nisikiuke misingi yake.
...
Nilipofika ofisini nilikaribishwa staff ya walimu,nikaambiwa nisubiri.Hapo ndipo niliduwaa kumuona mwalimu mmoja wa kike akiingia ofisini na mtoto wa kike,kidato cha tatu huku akiandamwa na fimbo za mgongoni.
...
Tatizo lilikuwa kwamba,,yule binti alikuwa amekamatwa jumapili yake(siku iyo ilikuwa jumatatu)
Akiwa amelala na wanaume wawili wakati wenzake wameruhusiwa kwenda nyumba ya ibaada.Shule yenyewe ina taratibu ya kuwaruhusu wanafunzi kuhudhuria ibaada nje ya shule ambapo ni mwendo wa dk 25 ivi kwa miguu.
...
Mwanafunzi huyu alikiri kulala na wanaume hao wawili na alipoulizwa aliwafaham vipi,alisema alitumia simu ambayo pamoja na shule kuzuia bado aliiweka kwenye taiti,,ikiwa na vibration.Aliweka wazi kuwa matroni hata akague vipi hawezi kuwakamata wote maana wanafunzi wengi wana simu.
...
Alipoulizwa anapaje ujasiri wa kulala na wanaume wawili,huku akilia anasema alikubaliana na mmoja,akaongezeka wa pili,,hivyo asingeweza kuwazuia.
...
Tukio hili ambalo bado linaendelea kuchukuliwa hatua stahiki ikiwemo wahusika kutafutwa,,lilinifanya niondoke na maswali mengi kichwani.Je tuwafiche wapi? Je malezi gani tuyatumie? Je wazazi walio nyumbani wanajua watoto wao wanamiliki simu? Je imefika mahali,somo la Mahusiano Urafiki Mawasiliano na Mapenzi liwekwe shuleni? Je hawa ndo wake wema na waume wema wa kesho?
Iliniuma,,jamani tusitafute wa kulaumu bali nini kinaweza kuleta usalama.
^^
 
Mtoto wa kike anauma kuliko hata wa kiume;

Malezi ya mtoto wa kike miaka ya sasa ni magumu sana;

Nilimsema sana Mvaa Tai aliposema maneno yake mahali fulani humu;
lakini wakati mwingine nao hao watoto wetu wanayataka; (Samahani sana Mvaa Tai)

Ngoja waje watasema zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Uwiii, uwiii, uwiiii jamani hata sijui niseme nini?
 
Mtoto ni mtoto awe wa kike au wa kiume wote wanauma cha msingi tushirikiane katika malezi hali imekua tete
 
Mi nadhani wazazi washirikiane katika malezi ya watoto pamoja na hayo elimu pia itolewe hasa kwa mabinti wanaokaribia balehe iwe shuleni ama nyumbani.mana dah inasikitisha sana.
 
wazazi hawana muda...wako busy...
 
^^
Mwanzoni mwa juma hili,nilitembelea shule moja ya wasichana nikiwa na shida ndogo ya kiofisi hapo.
Jina la shule naomba nilihifadhi sina taaluma ya uandishi wa habari,nisikiuke misingi yake.
...
Nilipofika ofisini nilikaribishwa staff ya walimu,nikaambiwa nisubiri.Hapo ndipo niliduwaa kumuona mwalimu mmoja wa kike akiingia ofisini na mtoto wa kike,kidato cha tatu huku akiandamwa na fimbo za mgongoni.
...
Tatizo lilikuwa kwamba,,yule binti alikuwa amekamatwa jumapili yake(siku iyo ilikuwa jumatatu)
Akiwa amelala na wanaume wawili wakati wenzake wameruhusiwa kwenda nyumba ya ibaada.Shule yenyewe ina taratibu ya kuwaruhusu wanafunzi kuhudhuria ibaada nje ya shule ambapo ni mwendo wa dk 25 ivi kwa miguu.
...
Mwanafunzi huyu alikiri kulala na wanaume hao wawili na alipoulizwa aliwafaham vipi,alisema alitumia simu ambayo pamoja na shule kuzuia bado aliiweka kwenye taiti,,ikiwa na vibration.Aliweka wazi kuwa matroni hata akague vipi hawezi kuwakamata wote maana wanafunzi wengi wana simu.
...
Alipoulizwa anapaje ujasiri wa kulala na wanaume wawili,huku akilia anasema alikubaliana na mmoja,akaongezeka wa pili,,hivyo asingeweza kuwazuia.
...
Tukio hili ambalo bado linaendelea kuchukuliwa hatua stahiki ikiwemo wahusika kutafutwa,,lilinifanya niondoke na maswali mengi kichwani.Je tuwafiche wapi? Je malezi gani tuyatumie? Je wazazi walio nyumbani wanajua watoto wao wanamiliki simu? Je imefika mahali,somo la Mahusiano Urafiki Mawasiliano na Mapenzi liwekwe shuleni? Je hawa ndo wake wema na waume wema wa kesho?
Iliniuma,,jamani tusitafute wa kulaumu bali nini kinaweza kuleta usalama.
^^

Duh inasikitisha sana. Wazazi tujitahidi kuongea na watoto wetu juu ya changamoto ambazo watakutana nazo katika makuuzi yao hasa wakati huu wa utandawazi. Watoto wapewe A to Z juu ya masuala ya ngono na waamue kusubili/kuingia wenyewe. Inasikitisha sana aisee
 
^^
Mwanzoni mwa juma hili,nilitembelea shule moja ya wasichana nikiwa na shida ndogo ya kiofisi hapo.
Jina la shule naomba nilihifadhi sina taaluma ya uandishi wa habari,nisikiuke misingi yake.
...
Nilipofika ofisini nilikaribishwa staff ya walimu,nikaambiwa nisubiri.Hapo ndipo niliduwaa kumuona mwalimu mmoja wa kike akiingia ofisini na mtoto wa kike,kidato cha tatu huku akiandamwa na fimbo za mgongoni.
...
Tatizo lilikuwa kwamba,,yule binti alikuwa amekamatwa jumapili yake(siku iyo ilikuwa jumatatu)
Akiwa amelala na wanaume wawili wakati wenzake wameruhusiwa kwenda nyumba ya ibaada.Shule yenyewe ina taratibu ya kuwaruhusu wanafunzi kuhudhuria ibaada nje ya shule ambapo ni mwendo wa dk 25 ivi kwa miguu.
...
Mwanafunzi huyu alikiri kulala na wanaume hao wawili na alipoulizwa aliwafaham vipi,alisema alitumia simu ambayo pamoja na shule kuzuia bado aliiweka kwenye taiti,,ikiwa na vibration.Aliweka wazi kuwa matroni hata akague vipi hawezi kuwakamata wote maana wanafunzi wengi wana simu.
...
Alipoulizwa anapaje ujasiri wa kulala na wanaume wawili,huku akilia anasema alikubaliana na mmoja,akaongezeka wa pili,,hivyo asingeweza kuwazuia.
...
Tukio hili ambalo bado linaendelea kuchukuliwa hatua stahiki ikiwemo wahusika kutafutwa,,lilinifanya niondoke na maswali mengi kichwani.Je tuwafiche wapi? Je malezi gani tuyatumie? Je wazazi walio nyumbani wanajua watoto wao wanamiliki simu? Je imefika mahali,somo la Mahusiano Urafiki Mawasiliano na Mapenzi liwekwe shuleni? Je hawa ndo wake wema na waume wema wa kesho?
Iliniuma,,jamani tusitafute wa kulaumu bali nini kinaweza kuleta usalama.
^^

Ndugu tumia kauli za first family personels..,
baba mwanaasha alisema wana kiherehere...,akili za kuambiwa changanya na za kwako..

Mama Mwanasha..mtoto wa mwenzio ni wa kwako.

jumuisha izo two phrases,you get a nice logical premise.,mtoto wa mwenzio ni wa kwako,kiherehere kikizidi..mwambie,akishindwa kutumia akili za kwake,mfirikishe na za kwako..hopeful when u're an upright human being and in a clear mindset and mood..
unaeza sema nimeandika kimsakhara,but nowadays.kila unapogeuka pananuka harufu ya ngono..
Ona mwenyewe,electronic & social media ndo majanga matupu,print media ni junks za udaku..tvs zetu..
video za muziki ni la anakum tupu,bongo movie uharo..
I think we need some censorship..vinginevyo twafa kabla ya siku zetu...
 
Mbona haya yapo miaka mingi sana sema siku hizi wanafanya kiwazi zaidi au wanapotoshwa na ya duniani yanavyoanikwa zaidi na technology kukua.

Mie nakumbuka maneno mzazi wangu alikua akisema kama vile utani katika kutushauri na nashukuru Mungu hata alivyokua akiimba kama mwimbo kutufunza na kutuambia mkiwa hivi mbeleni hivi... Yalikaa kichwani hadi leo, na nilijiheshimu maisha nilikula kama kawa kwenda disco, kuangalia sat tv etc kuwa na marafiki wa kiume tulikubaliwa hata kuja kututembelea home. Ila nakumbuka wale waliokuwa wakigombezwaaaa weeeee walikuwa kama wamefunguliwa wakipata nafasi.

Sasa nasikia raha sikuwa na ya kujutia na tumeolewa na tunalea familia zetu. Naomba Mungu nami niwafunze wanangu kihivyo na zaidi kutokana na maisha ya siku hizi na mitandao etc.

So wazazi tunamajukumu, Mungu amebariki kuwa na watoto malezi ni kazi ya wazazi na sio kuwaachia kutowashauri eti Mungu yupo nao.
 
Hapa ndio tunakosea.

Nimeshuhudia nchi zilizoendelea wazazi kuwa karibu sana na watoto wao wkat kwetu sio rahisi sana kwa mtoto kuwa rafiki wa mzazi. Hii inatoa gap kubwa sana kwa mtoto, imagine mama anakuwa rafiki wa mtoto wa kike mpk hata boyfrend wa mtoto anaweza ongea na mama(????)

Nachoweza summarise ninkuwa tamaduni zetu bado zinaweza kuwa zinafanya haya yatokee. Let me be honest, huku ulaya mtoto kuwa na b/friend sio dhambi, ili mradi afikishe umri (16-18) so anakuwa very open na hao wanakuwa officially known. Naona inazuia pia mtu kuwa na wavulana ama wasichana wengi(vile iko wazi so ni ngumu).

Kwetu hilo suala ni dhambi na hata watoto wanajua..mama au mwal akijua ni balaa. Kinachofuata ni kufanya kwa siri na ndio kisa cha mtu kuwa na mademu 6, au wavulana wa5 kwa vile ni siri.

Niishie hapo
 
Yanatokea sana hayo,ongea na wanaofanya kazi ya malezi ya watoto (hasa walimu) unaweza UKACHANGANYIKIWA.
Tushirikiane na walimu kwenye malezi ya watoto wetu ila tumshirikishe pia Mungu maana kwa hali ilivyo sasa peke yetu hatuwezi.
 
Hapa ndio tunakosea.

Nimeshuhudia nchi zilizoendelea wazazi kuwa karibu sana na watoto wao wkat kwetu sio rahisi sana kwa mtoto kuwa rafiki wa mzazi. Hii inatoa gap kubwa sana kwa mtoto, imagine mama anakuwa rafiki wa mtoto wa kike mpk hata boyfrend wa mtoto anaweza ongea na mama(????)

Nachoweza summarise ninkuwa tamaduni zetu bado zinaweza kuwa zinafanya haya yatokee. Let me be honest, huku ulaya mtoto kuwa na b/friend sio dhambi, ili mradi afikishe umri (16-18) so anakuwa very open na hao wanakuwa officially known. Naona inazuia pia mtu kuwa na wavulana ama wasichana wengi(vile iko wazi so ni ngumu).

Kwetu hilo suala ni dhambi na hata watoto wanajua..mama au mwal akijua ni balaa. Kinachofuata ni kufanya kwa siri na ndio kisa cha mtu kuwa na mademu 6, au wavulana wa5 kwa vile ni siri.

Niishie hapo

^^
Je,kwa kuwa kinachoonekana Afrika kukimbilia malezi ya kizungu,,pengne ni kawaida tu ipo siku tutakuwa kama wenzetu? I mean tuache mambo yaende yapendavyo
^^
 
Mbona haya yapo miaka mingi sana sema siku hizi wanafanya kiwazi zaidi au wanapotoshwa na ya duniani yanavyoanikwa zaidi na technology kukua.

Mie nakumbuka maneno mzazi wangu alikua akisema kama vile utani katika kutushauri na nashukuru Mungu hata alivyokua akiimba kama mwimbo kutufunza na kutuambia mkiwa hivi mbeleni hivi... Yalikaa kichwani hadi leo, na nilijiheshimu maisha nilikula kama kawa kwenda disco, kuangalia sat tv etc kuwa na marafiki wa kiume tulikubaliwa hata kuja kututembelea home. Ila nakumbuka wale waliokuwa wakigombezwaaaa weeeee walikuwa kama wamefunguliwa wakipata nafasi.

Sasa nasikia raha sikuwa na ya kujutia na tumeolewa na tunalea familia zetu. Naomba Mungu nami niwafunze wanangu kihivyo na zaidi kutokana na maisha ya siku hizi na mitandao etc.

So wazazi tunamajukumu, Mungu amebariki kuwa na watoto malezi ni kazi ya wazazi na sio kuwaachia kutowashauri eti Mungu yupo nao.

^^
Nimependa sana uchambuzi wako,,vipi kama mzazi unaweza kuongoza matumizi ya teknolojia kama simu,maana hapa ndipo mabinti wengi wanapopotea.
Namkaribisha pia Lyamber Ablessed @FP Mashaxizo na wengneo
^^
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, mi nahisi hayo maendeleo ya technologia yanafaida nyingi sana, na pia kuna hasara zake! Watoto wa miaka hii, wanaathirika sana na hizo technolojia! Vile tukumbuke zipo sababu nyengine zinapelekea watoto wadogo kuharibika! Mf: malezi mabaya na hali ya jamii kutokusaidiana ktk kumlea mtoto...
Tukija ktk suluhisho la hili tatizo, HAPA KUNAHITAJIKA COMBINATION FORCE YA WAZAZI NA JAMII KWA UJUMLA! najua hili kutekelezeka ni gumu sana! ukizingatia Tz (urban areas) tumechanganyikana sana kupitia tamadun! Unaweza kukichapa kitoto cha watu zikatokea kesi nyengine hapo! Lakin je ndio watoto waachwe tu?
Hapa lawama zitaelekea kwa wazazi 1 kwa 1! Wazazi wakitoa zile huduma 5 (mlo, makazi, mavazi, afya na ELIMU ie elimu yenyewe wanalipia ada ya shule tu, kuhusu elimu nyengine ziro) huona tayari wamekamilisha!
Watoto hawafanyiwi supervition yoyote, unamkuta mtoto ana simu mwaka mzima na wazazi hawajui!
Pia ni muhimu wenyewe kuwa na staha ata kidogo, mh! nilimsikia mzazi akisema hivi kwa mwanae "....wewe mkund* si nimekuita!" achia yale matusi ya rejare kama vile "k*manyoko* na mengineo! Mzazi uyo uyo anaangalia filamu za mapenz na mtoto wake yupo!
Nahis wazaz wakitimiza wajibu wao kwa vitoto vyao hii hali itapungua sana!
Sijui unalionaje hili?

^^
Nimependa sana uchambuzi wako,,vipi kama mzazi unaweza kuongoza matumizi ya teknolojia kama simu,maana hapa ndipo mabinti wengi wanapopotea.
Namkaribisha pia Lyamber Ablessed @FP Mashaxizo na wengneo
^^
 
Last edited by a moderator:
hiki kizazi cha nyoka..but

tuwalee watoto wetu katika njia zifaazo
 
Back
Top Bottom