Watoto wa kike,,tuwafiche wapi wasiyaone mapenzi

Watoto wa kike,,tuwafiche wapi wasiyaone mapenzi

Daaah aisee mkuu[MENTION]Himidini[/MENTION]kiukweli kabisa kwa sasa hivi sie wazazi wa kesho kutwa tuna kazi sana yan..hapa home niko na niece wangu aisee yani huyu..ukimdanganya bibi ake ameenda sehemu ukivunga unampigia simu hewa(yani bila kushika simu) haachi kulia, ila ukichukua simu ukizuga unampigia na kumwambia kwamba awahi kurudi basi huyoo anayamaza kwa kweli kwa simu siku hizi mambo yamekua magumu..kuanzia facebook,instagram,yani social networks ni majanga..ingawa saa zingine mzazi anaweza kua mkali kitu ambacho mzee wangu mie alikua nashukuru nimekua na misingi na maadili mazuri kwa kiasi chake(sijisifii) lakini niko na mdogo wa we live under the same rules lakini yeye yuko tofauti na mie kabisa..mimi vitu napenda kuvia analyse sana..anaysis paralisis..ila yeye ni tofauti anafany tu...yani sijui nisemeje malezi na hulka ya mtoto mwenyewe na uwezo wake wa kutambua nifanye kipi nisifanye kitu inahusika katika kumkuza mtoto...huo ndo mtazamo wangu..!!!
 
^^
Nimependa sana uchambuzi wako,,vipi kama mzazi unaweza kuongoza matumizi ya teknolojia kama simu,maana hapa ndipo mabinti wengi wanapopotea.
Namkaribisha pia Lyamber Ablessed @FP Mashaxizo na wengneo
^^
Mkuu nimeitika wito japo nilikua mbali sana usingeniita hakika nisingeujua huu mjadala. Back to topic. Kwa kweli malezi ya watoto hasa nyakati hizi za science na technologia ni magumu kidogo maana yatupasa nasi wazazi tulee kisasa zaidi.Kwa bahati mbaya hakuna njia hata moja iliyo perfect lbd kwa mtazamo wangu naona ingefaa wazazi tuweke ukaribu na watoto wetu na pia tuwaelimeshe faida na hasara ya mitindo mbali mbali ya maisha. Kumzuia mtoto kutokua na simu ni jambo gumu kidogo kama unaweza ku afford bill za simu basi waweza toa ruhusa ya kumiliki cm. Uwazi wetu kwa watoto mara nyingi unawasaidia kuuliza maswali na kuelewa mambo mbali mbali. Binafsi naona ni muhimu sana kumueleza mtoto faida na hasara ya mitandao kama facebook na mingine na kwa bahati nzuri google inasaidia sana kupata taarifa. Kuna mzazi flani alinishangaza sana hasa alipolalamika kua binti yake kafundishwa uhuni shuleni, nilimuomba anipe jina la mtoto na nilipofuatilia kwa kina hasa facebook niligundua huyo binti uhuni kaanza zamani lkn wazazi hawajui sababu wako busy na ni ngumu mzazi kama huyu kumwambia mwanae kaanza tabia chafu siku nyingi. Huyo mtoto amekua akicheza na akili ya wazazi na amefaulu. Nakumbuka huko nyuma nilikua busy sana kiasi kwamba sikua na muda wa kukaa na watoto wangu, pindi nilipobadili mtindo wa maisha na hata kuondoa dada wa kazi na kubaki mwenyewe sasa nawajua vizuri wanangu na tumekua marafiki. Sorry kwa uandishi wa aina hii keyboard yangu ina tabu kwenye enter key
 
Ukiwa nae mtoto wa kike sawa na bomb

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kitu kingine kinachoweza labda kupunguza tabia zisizofaa kwa watoto ni mawasiliano. Mara nyingi huwa hakuna mawasiliano kati ya mzazi na mtoto. Mawasiliano ninayozungumzia ni ile hali ya kukaa pamoja na mtoto kwa muda flani pengine mwaweza kutoka pamoja n.k. Kama nilivyosema hapo juu hakuna njia ambayo iko perfect sana sana msome mwanao ni mtoto wa aina gani then mlee kulingana na jinsi alivyo. Kwani kuna watoto si wepesi kudanganywa na wengine ni wepesi sana kudanganyika na hizi tabia za watoto tutazijua pindi tuwapo nao karibu. Halafu tusiiamini sana jamii inayotuzunguka maana kama mtu anaweza kubaka/kulawiti mwanae atashindwaje wa jirani. Tuwaombee sana watoto wetu wanapitia kipindi kigumu Enzi zetu hata baba/kaka jirani bado ni babako/kakako lkn siku hizi tofauti dunia imebadilika mno hao hao waweza kua chanzo cha tatizo.
 
Ukiwa nae mtoto wa kike sawa na bomb

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ndugu yangu siku hizi hata wa kiume ni taabu pia. Huku duniani kumebadilika mno maana mafedhuri wako barabarani wakitega chochote kitakachopita karibu yao.
 
kwa mtazamo wangu mi naona kama kutoa elimu ya ngono kwa watoto hawa itachochea zaidi wao kujiingiza huko, ila ushaur wangu nikuwaombea na kuwakabidhi mikononi kwa Mungu kila iitwapo leo, pia kuwalea katika njia zile zinazompendeza Mungu hakika wakiwa na hofu ya Mungu ndani yao wataogopa kufanya matendo hayo ambayo ni machukizo.
 
dunia ya leo mzazi huwezi kumfunza mtoto mwenyewe kuna vishawishi vingi sana uraiani cha msingi ni kukaa nae na kumwambia ukweli,wazazi wengi wanawaogopa sana watoto wao kiasi kwamba wanapandwa kichani mzazi hata kumkaripia mwanae wa kumzaa hawezi dunia inkwenda wapi jamani,wazazi mbadilike/tubadilike na hii methali ya kwamba mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzako sio ya kweli inachangia kuharibu watoto wa kike
 
mambo ya kawaida sana hayo, hata mtoto wako anaweza fanyiwa huwezi zuia hayo siku hizi.Na wanaofanya wengine ndio wapo humu humu kazi ni kutembea na watoto wadogo halafu wa kwao wanalalamika eti.Mabadiliko huanzia nyumbani jamani ,ila mimi nimeshuhudia makubwa zaidi ya hayo,hawa watoto wa kike stress tupu,ila mie siku hizi nawagegeda sana tofauti tofauti na hawakatai hawa wakubwa wenzetu wasumbufu sana,sema mimi nawagegeda kawaida i mean pekee yangu na sio mtungo kama huo,Vipi angegegedwa na mmoja ingekuuma?
 
^^
Mwanzoni mwa juma hili,nilitembelea shule moja ya wasichana nikiwa na shida ndogo ya kiofisi hapo.
Jina la shule naomba nilihifadhi sina taaluma ya uandishi wa habari,nisikiuke misingi yake.
...
Nilipofika ofisini nilikaribishwa staff ya walimu,nikaambiwa nisubiri.Hapo ndipo niliduwaa kumuona mwalimu mmoja wa kike akiingia ofisini na mtoto wa kike,kidato cha tatu huku akiandamwa na fimbo za mgongoni.
...
Tatizo lilikuwa kwamba,,yule binti alikuwa amekamatwa jumapili yake(siku iyo ilikuwa jumatatu)
Akiwa amelala na wanaume wawili wakati wenzake wameruhusiwa kwenda nyumba ya ibaada.Shule yenyewe ina taratibu ya kuwaruhusu wanafunzi kuhudhuria ibaada nje ya shule ambapo ni mwendo wa dk 25 ivi kwa miguu.
...
Mwanafunzi huyu alikiri kulala na wanaume hao wawili na alipoulizwa aliwafaham vipi,alisema alitumia simu ambayo pamoja na shule kuzuia bado aliiweka kwenye taiti,,ikiwa na vibration.Aliweka wazi kuwa matroni hata akague vipi hawezi kuwakamata wote maana wanafunzi wengi wana simu.
...
Alipoulizwa anapaje ujasiri wa kulala na wanaume wawili,huku akilia anasema alikubaliana na mmoja,akaongezeka wa pili,,hivyo asingeweza kuwazuia.
...
Tukio hili ambalo bado linaendelea kuchukuliwa hatua stahiki ikiwemo wahusika kutafutwa,,lilinifanya niondoke na maswali mengi kichwani.Je tuwafiche wapi? Je malezi gani tuyatumie? Je wazazi walio nyumbani wanajua watoto wao wanamiliki simu? Je imefika mahali,somo la Mahusiano Urafiki Mawasiliano na Mapenzi liwekwe shuleni? Je hawa ndo wake wema na waume wema wa kesho?
Iliniuma,,jamani tusitafute wa kulaumu bali nini kinaweza kuleta usalama.
^^
Kwani kuna shida gani? si walikubaliana? acheni unafiki
au kwakua kagegedwa na wawili?walikubaliana hao, si kazidi miaka 14 ?
 
Back
Top Bottom