Watoto wa Kike Bwana....!!!

Kwangu mie haitatokea huwa nawapa 50 na 50 nabaki nazo mwenyewe,
maana kuwamiini nyie ni sawa kujiweka pondiiii
Mbona sisi hua tunawaamini na maneno hewa yenu????.....Ongeza japo zifike 75 Mkuu.
 
Nafuu ya huyu ntasema ameziba ili CHUPI isionekane.


 
Subutu labda nipunguze 25 maana mnapenda kudanganya kuliko kuambiwa ukwelii[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hapana,ukweli mchungu nao tunapenda kuusikia muda mwingine[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…