Watoto wa kibongo musijaribu hii jamani...........

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
561665_420351458010686_1800236077_n.jpg

Hii kali Mtoto wa mkuu Boflo anamchezea Simba sharubu ... kasheshe kweli...............Iga ufe..............
 
Last edited by a moderator:
uwajui watoto wa kibongo wewe! kama wanaiga wakubwazao wa chuo kuandamana na kupambana na ffu ndo itakuwa hii! chezea bongo toto wewe
 
Nini maana ya hii neno ( Imbombo ngafu) ? Mkuu King Kong III

Wataiga vyote sio kucheza na nyoka mkubwa namna hiyo mkuu markj

we huwajui hawa watoto! hatari sana! wanalichukua bomu la machozi wanaweka ndani ya bag afu wanaenda nalo shuleni kuringishiana! nyoka huyo keshachakachuliwa lakini bomu la machozi alichakachuliwi mkuu
 
basi ni hatari sana watoto wa kibongo............. markj
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu una wa underestimate watoto wa kibongo siyo? waulize waliokuwa wanaandamana walipata wapi ujasiri huo tena pasi kuambiwa walibeba mabango na kupita barabaran na wengine wakapakizwa karandinga kwenda lokapu tena walikuwa very happy sasa sijui uthubutu ni wapi wanaupata.
 
Poleni sana nyinyi Walimu mliogoma Serikali imeshindwa kuwalipa Ma Daktari itakuwa nyinyi Waalimu? Je wewe pia umegoma kusomesha? au wewe haumo kwenye mgomo? gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Maalim Mzizi, hii ni hatari na kutafutiana lawama, Wazazi wakirudi watakuta Mtoto kapotea, na lijidubwana limelala
 
Poleni sana nyinyi Walimu mliogoma Serikali imeshindwa kuwalipa Ma Daktari itakuwa nyinyi Waalimu? Je wewe pia umegoma kusomesha? au wewe haumo kwenye mgomo? gfsonwin

khaaa! kwani hao madaktari wana nini hasa ukulinganisha na waalim? mbona kauli yako imekaa kidharau sana? sisi tumegona na hapa hatutaki utani hadi kileleweke
 
khaaa! kwani hao madaktari wana nini hasa ukulinganisha na waalim? mbona kauli yako imekaa kidharau sana? sisi tumegona na hapa hatutaki utani hadi kileleweke
Na wewe pia leo hujakwenda shule? kazi kweli ipo huko nyumbani gfsonwin Waziri wa Elimu Mh Mr Shukuru kawambwa atawafukuzeni wote.
 
Last edited by a moderator:
Maalim Mzizi, hii ni hatari na kutafutiana lawama, Wazazi wakirudi watakuta Mtoto kapotea, na lijidubwana limelala
Ndio Demokrasia hiyo kila mahali lazima kuwepo na Migomo hata ulaya migomo ipo ndio haki itakapo tendeka pasipo na migomo hakuna haki hio ndio Demokrasia ya kweli wanaopinga migomo hawataki hakiza watu wapewe Mkuu Mbuzi Mzee
kipanya_29_-_06_-_2012_20120629_1614433847.jpg
 
Na wewe pia leo hujakwenda shule? kazi kweli ipo huko nyumbani gfsonwin Waziri wa Elimu Mh Mr Shukuru kawambwa atawafukuzeni wote.

ni sawa tu manake kama vyeti ninavyo mimi what shld i cae kwanza experience inaonyesha kufanya kazi moja muda mrefu tena sehem moja hupati exposure so to me ni afadhali ili niumize kichwa kusaka kazi nyingine pengine.
 
Kitaeleweka tu,vinginevyo darasani itakuwa hivi:
a) 1 + 3 = 13
b) 73 - 3 = 7
c) 3 x 3 = 333
d) 7 x 2 = 77
Na kwenye physics usiseme,kila formula itakuwa reciprocal.
That's will be our plan B for us science teachers.
SIPATI PICHA KWA NDUGU ZANGU WA HISTORY,'BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA MBWA'...TWENDE KAZ...!
 
akipakia-stud.jpg
Mwanafunzi akipakizwa katika gari la Polisi baada kwenye kuvunjwa maandamano ya kuelekea kwa Mkuu wa Wilaya Kindononi kwa Wanafunzi kutoka shule za Msingi za Mtongani,Kunduchi,Mtakuja na Wazo kushinikiza walimu warudi kazini baada ya kusambaratishwa na Polisi katika eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam.Picha na Fidelis Felix
 
wanafunzi%20ipp.jpg

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kawawa wakitembea kwa miguu wakati wakirudi kutoka ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ilala Boma jijini Dar es Salaam jana baada ya kuandamana kudai haki yao ya kupata elimu kufuatia mgomo wa walimu ulioanza kote nchini juzi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom