Watoto wa kibongo musijaribu hii jamani...........

Hawa wakifika vyuo vikuu migomo si itakua mingi sana, make naona wana ujasiri sana kuliko hata walimu wao
wanafunzi%20ipp.jpg

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kawawa wakitembea kwa miguu wakati wakirudi kutoka ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ilala Boma jijini Dar es Salaam jana baada ya kuandamana kudai haki yao ya kupata elimu kufuatia mgomo wa walimu ulioanza kote nchini juzi.
 
Back
Top Bottom