WATOTO WA KI SYRIA WACHOKESHWA NA MILIO YA SAUTI YA NDEGE ZA KIVITA MUNGU AWASAIDIE

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
WATOTO WA SYRIA.jpg
WATOTO WA SYRIA WACHOKESHWA NA MILIO YA SAUTI YA NDEGE ZA KIVITA.jpg
 
Syria sio nchi ya kwenda
Watoto hawathaminiki huwa wanauliwa sana.
Kusikia Watoto 100 wameuliwa Syria nikitu cha kawaida.
 
Syria sio nchi ya Kiislam Syria ni nchi ya kiarabu kuna Wakristo Syria wengi tu. Sio kila nchi ya kiarabu ndio nchi ya Kiislam kwa mfano Lebanon ni nchi ya kiarabu lakini kuna Wakristo wengi waarabu nchini Lebanon sasa utasema Lebanon ni nchi ya Kiislam?
Huyo hakumbuk hata Damascus ya akina mtume paulo??au kingunge huyo
 
Syria sio nchi ya Kiislam Syria ni nchi ya kiarabu kuna Wakristo Syria wengi tu. Sio kila nchi ya kiarabu ndio nchi ya Kiislam kwa mfano Lebanon ni nchi ya kiarabu lakini kuna Wakristo wengi waarabu nchini Lebanon sasa utasema Lebanon ni nchi ya Kiislam?
Alikuwa hajajua hata Pakistan Afghanistan kote huko kuna wakristo
 
Yote hii ni tamaa (uchu) wa madaraka. ...wewe unaye jaribu kaharibu nchi yetu kwa kupinga vitu visio na msingi ni tamaa ya madaraka tu! Umeshindwa. ..Tulia. .2020 uanze tena....kwa sasa acha JPJM afanye kazi na wananchi wafanye kazi. Period. ..na inapendeza. ..have a blessed Sunday
 
Hiv kwanini hao watoto ,wazee,wasihamishweee huko syria ,wabaki wanaopigana ,,,wanapiganaga hawamalizi tuu wakaishi kwa amanii
 
Syria na Libya walidanganywa kama sisi hapa Tanzania tunavyodanganywa na majizi Chadema eti mabadiliko.

Wakashike UKUTA huko ,hatutaki mabadiliko feki
 
Religious of peace... Wanalalamikia ndege za usa at the same time wanamlaumu usa kuwa hajachukua hatua madhubuti kukabiliana na Daeshi
 
HIZI NI NCHI ZA KIARABU,ZA KIISLAMU. KUNA IDADI NDOGO SANA YA WAKRISTO. TUACHE KUWADANGANYA WATU. Egypty, Iraq,Syria, ni nchi za Kiislamu na kwa sasa watu wanatafuta haki zao za kuishi na wengine wanatafutiwa haki za kutoishi. Kupitia dini ya haki.

Silaha zinatengenezwa na Makafiri? Halaf wanatia nani? Guns never kill human beings. Ni binadamu wanaoua binadamu kupitia silaha. Tuache kulishana ujinga.

Miaka ya mtume yeye alitumia Majambia kuua na kuteka Mali za kumpatia mungu zile silaha tusiseme alitengenezewa na makafiri alitengeneza mwenyewe kwa uwezo wake mzur kabisa.

QUOTE="Mgirik, post: 17032950, member: 139246"]Alikuwa hajajua hata Pakistan Afghanistan kote huko kuna wakristo[/QUOTE]
 
Ina umiza sana kuona watoto wasio na hatia wanavyo hangaika na hapa ndipo funzo la kuitunza na kuilinda amani linapopatikna kwa amani n silaha kuu ya mafanikio na inapaswa kudumishwa na kila mpenda amani tugangamale kuilinda amani yetu
 
Ninaumia sana ninapoona watoto wadogo wasio na hatia wanahangaika hivyo , jaman vita tuisikie tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom