Wanawajua sanaKwa wasio wahenga (Watoto wa Dot com) nawajulisha kwamba hawa ndio waasisi wa Taifa letu. Sheikh Abeid Aman Karume Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Mwl Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya TanganyikaView attachment 3508179
Ilikuaje kuhusu huyo jamaa mkuu...We wachokoze waje kukupa salamu kama walivyomfanyia kamanda muriro kwake
Wote ni makahaba kiasi cha kutia kinyaa.Kwa wasio wahenga (Watoto wa Dot com) nawajulisha kwamba hawa ndio waasisi wa Taifa letu. Sheikh Abeid Aman Karume Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Mwl Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya TanganyikaView attachment 3508179
Wamempigia simu usiku?We wachokoze waje kukupa salamu kama walivyomfanyia kamanda muriro kwake
Waasisi wa Tanganyika ni Wajerumani. Ndiyo walichora mipaka hii ya Tanganyika tuliyonayo leo. Wajerumani pia walinunua ile maili kumi ya Pwani ya Tanganyika kuanzia mpaka wa Msumbiji hadi mpaka wa Kemya toka kwa Sultani wa Zanzibar. Kwa hiyo unaposema Nyerere ni muasisi wa Tanganyika sikuelewi.Kwa wasio wahenga (Watoto wa Dot com) nawajulisha kwamba hawa ndio waasisi wa Taifa letu. Sheikh Abeid Aman Karume Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Mwl Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya TanganyikaView attachment 3508179
Kwani walifanyaje?We wachokoze waje kukupa salamu kama walivyomfanyia kamanda muriro kwake
Muriro kawa mdogo kama kinyeo chake walichomfanyia kwakeKwani walifanyaje?
😀😀
Kwani ilikuaje imenipita hiyo mkuu!!Muriro kawa mdogo kama kinyeo chake walichomfanyia kwake