Hebu niambie, ingekuwa wewe ni mwalimu wa chekechekea halafu vitoto viwili unavyovifundisha, cha kike na cha kiume vikaja kukuuliza: "Eti mwalimu, watoto kama sisi tunanaweza kupata ujauzito?" Ukajibu haiwezekani, ka kiume kakamgeukia mwenzake kakamwambia, si nilikwambia usiwe na wasiwasi!!!! Ungefanyeje?