fact only JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,089 Reaction score 3,339 Jul 10, 2026 Thread starter #21 King Kong III said: Enzi hizo wakati nauangalia huu wimbo nilikuwa namuona Juma Kakere mzee na Sinta Mkubwa ila kwasasa naona Juma Kakere bado Kijana Sana na Sinta Mbichi wa moto sana. Watoto wa 2000 TVT - Ndiyo TBC sasa Televisheni ya Taifa. Click to expand... Wamejipata mkuu pesa kidogo inachelewesha uzee.
King Kong III said: Enzi hizo wakati nauangalia huu wimbo nilikuwa namuona Juma Kakere mzee na Sinta Mkubwa ila kwasasa naona Juma Kakere bado Kijana Sana na Sinta Mbichi wa moto sana. Watoto wa 2000 TVT - Ndiyo TBC sasa Televisheni ya Taifa. Click to expand... Wamejipata mkuu pesa kidogo inachelewesha uzee.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,159 Reaction score 95,895 Jul 10, 2026 #22 fact only said: Wamejipata mkuu pesa kidogo inachelewesha uzee. Click to expand... Ni kweli STRESS zinazeesha kwa uharaka sana.
fact only said: Wamejipata mkuu pesa kidogo inachelewesha uzee. Click to expand... Ni kweli STRESS zinazeesha kwa uharaka sana.
fact only JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,089 Reaction score 3,339 Jul 10, 2026 Thread starter #23 King Kong III said: Ni kweli STRESS zinazeesha kwa uharaka sana. Click to expand... Ukiwa hauna pesa muda wote sura yako inakuwa imekunja ndita moyo unapelekwa speed speed njaa kali. Unakosa rishe mwili unakuwa dhaifu. Umasiki ni shida Mkuu.
King Kong III said: Ni kweli STRESS zinazeesha kwa uharaka sana. Click to expand... Ukiwa hauna pesa muda wote sura yako inakuwa imekunja ndita moyo unapelekwa speed speed njaa kali. Unakosa rishe mwili unakuwa dhaifu. Umasiki ni shida Mkuu.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,159 Reaction score 95,895 Jul 10, 2026 #24 fact only said: Ukiwa hauna pesa muda wote sura yako inakuwa imekunja ndita moyo unapelekwa speed speed njaa kali. Unakosa rishe mwili unakuwa dhaifu. Umasiki ni shida Mkuu. Click to expand... Hatari sana mkuu.
fact only said: Ukiwa hauna pesa muda wote sura yako inakuwa imekunja ndita moyo unapelekwa speed speed njaa kali. Unakosa rishe mwili unakuwa dhaifu. Umasiki ni shida Mkuu. Click to expand... Hatari sana mkuu.