Watoto wa 2000 kaeni mbali hapa

Watoto wa 2000...... wakitazama haya mavazi na miondoko ya hii video watasema ni Gospel.

song: pole kwa safari.


View attachment 3625049
Enzi hizo wakati nauangalia huu wimbo nilikuwa namuona Juma Kakere mzee na Sinta Mkubwa ila kwasasa naona Juma Kakere bado Kijana Sana na Sinta Mbichi wa moto sana.

Watoto wa 2000 TVT - Ndiyo TBC sasa Televisheni ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…