Watoto ni baraka yahitaji subira kina baba

Watoto ni baraka yahitaji subira kina baba

Ila naendelea kuwakumbusha akina Dada kutunza miili yao, pasipo kuitunza ni ngumu kuendelea kupata vizazi vyenye afya. Tunaomba mtunze afya zenu, nyinyi ndo mama wa dunia, nawashauri mtunze miili yenu kwa kutokukubali kutoa mimba ambayo imekuwa chanzo cha kuharibu mfumo wa uzazi, jiepusheni na matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango kama vile vijiti, vidonge na sindano, zimekuwa chanzo cha kuziba mirija ya uzazi vilevile jiepusheni na ngono zembe zinazoweza kupelekea kupata magonjwa ya zinaa ili tuwe na vizazi bora tushirikiane sote me na ke
 
Nimefurahijeee, tunawasubiri nasisi tuwakate kwenye uchaguzi mku, teh teh teh! Mie hata sijakumiss

Nimekusoma kinyume na maandishi kwamba umenimiss.... atoto
 
Last edited by a moderator:
Aaa wapi ninetoka kumhudumia dadako DEMBA sasa hivi kisha ww utafata kupata huduma stahiki

Acha uongo huko, mchepuko wako Honey Faith jana alishanipa warning kabisaaa, na bahati yake nampenda la sivyo pandechimbika!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom