Watoto na X

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
Watoto wa siku hizi balaa tupu. magufuri alikuwa na mkutano, akasema wenye majumba waliojenga karibu na barabara nyumbazao zitawekwa X. watoto wote wakashangilia kwa furaha, Heeeeee. akakaita katoto kamoja akakauliza mbona mmefurah sana? kakajibu muheshimiwa ukiweka X weka za kiswahili maana wazungu tumewachoka hawavai SHANGA. magufuli toba
 

hiyo mitoto itakuwa ya uswazi sana ,ha ha ha ha....
 
Asante, imenichekesha.Hizo ndio perception ya watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…