Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,051
- 36,809
- Thread starter
- #141
Mwili wa mwanamke naupenda hizo fats TU zinavotingishika ila akiwa naked nooo
Mwili wa mwanamke naupenda hizo fats TU zinavotingishika ila akiwa naked nooo
Situmii app, waite mods uwaulize au labda wanafanya updates usiku huu.Oya halafu mbona hii app ya jf kwangu inaleta mauza uza yaani siwezi kubold, italize na vingine
Kitu ukikizoea unakiona cha kawaida sans!In short mwili wa mwanamke akiwa tupu haunivutiii kama akiwa kwenye nguo
Sio django doer kweli wewe?▶︎ •၊၊||၊|။|l||l|။၊|l၊၊၊၊|l|၊|။|||၊|ll၊၊||၊|။||•0:20
Nani amekuamsha usiku usiku 😅Wazee siku hizi hatulali 😬
Huku ndio kwanza pamekucha mremboNani amekuamsha usiku usiku 😅
Upo Australia nini?Huku ndio kwanza pamekucha mrembo
Kaka nilikuona unamwaga maneno kwa yule mrembo, sikuamini 😂😂😂Uzi umetembea sana!
Hapana mkuuUpo Australia nini?
Wapi huko kunakucha saa hizi?Hapana mkuu
Dalisselama mkuu sisi boda boda hatulali.Wapi huko kunakucha saa hizi?
Na mimi nashangaa. Ni kweli wewe ni "me"?
Hivi alikua ni mrembo kumbee!yule mrembo
Umesahau au ulikua ushapiga mbege akili imechamgamka 😅Hivi alikua ni mrembo kumbee!
Sawa, natafuta mtu wa kumfanya awe boda boda wangu, huwa unapaki wapi?Dalisselama mkuu sisi boda boda hatulali.