Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

Daaah!
Ujue kuitwa kaka ni kuwekwa kwenye mpaka mkubwa sana!
Wanaume wote humu kaka zangu, nisipoweka ukuta, wanaanza kunichosha 😅

Na nina shemeji yangu, mchaga wa rombo, huwa nikikuona humu navuta picha ni yeye 😅
 
Wanaume wote humu kaka zangu, nisipoweka ukuta, wanaanza kunichosha 😅

Na nina shemeji yangu, mchaga wa rombo, huwa nikikuona humu navuta picha ni yeye 😅
Ni vile tu sijui nipoje sio muda huo msamiati wa kaka ungefutwa.

Halafu warombo bwana! Manina zao.
 
Sina utani na wewe ila nakuhakikishia upo na mito tu!
Usinichekeshe kwa sauti usiku huu 🤣🤣

200.gif
 
Back
Top Bottom