Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,157
- 2,663
Kuna watu wana bahati sana ya kupendwa na watoto wadogo au vijana wadogo wa jinsia zote mbili (kike na kiume), hivi ni kitu gani kinawafanya wapendwe na watoto? maana hata mtoto ambaye hamfahamu (mwenye kupendwa na watoto) akiongea naye maneno mawili matatu utakuta huyo mtoto anamfurahia na kuwa rafiki yake...kila akimwona anatabasamu na kumfurahia.
Na hao watoto wakishakua wakubwa basi urafiki unapoa na bado mtu anaendelea kupendwa na watoto wadogo popote pale anapokwenda.
Why?
Na hao watoto wakishakua wakubwa basi urafiki unapoa na bado mtu anaendelea kupendwa na watoto wadogo popote pale anapokwenda.
Why?