Watoto kukupenda?

Watoto kukupenda?

mi nipo kiteto manyara kuna rafiki yangu yuko magereza hapa sababu alikuwa na mazoea ya kuwapa zawadi watoto na hatimaye kupewa kesi ya kulawiti mtoto wa miaka 10 mi sipendi mazoea na watoto kwan nimeona yaliyomtokea rafiki yangu!

Nadhani walimjengea wivu tu huyo jamaa, maana inawezekana mtoto alikuwa hataki kukaa kwao kila siku anampenda huyo anyempa zawadi, kuanzia hapo nadhan wivu ulianza kuwajaa mioyoni mwao
 
Kuna chaliangu mmoja alkua anapendwa saaana na wtto ckumoja watoto wa tatu wakaja kwao akawa anacheza nao watt hawaondok mama mmoja akashangaa akajkuta kamuuliza hiv ww utakujakupata watoto kwel badae sasa cjui iyo ndo inamaanisha hivyo au
 
kuna watu wamebarikiwa na mungu kuwa na upendo kwa watoto wadogo,elewa watoto wadogo ni malaika hivyo uwa wanaongozwa na mungu kuwapenda na kuwafurahia watu fulani
 
Back
Top Bottom