Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
Pole slip of mind! huwa nawachanganya. Kwanza wazee wengine tu wakorofi, kila mmoja tutabeba mizigo yetu!
it's fine CHUAKACHARA
Last edited by a moderator:
Pole slip of mind! huwa nawachanganya. Kwanza wazee wengine tu wakorofi, kila mmoja tutabeba mizigo yetu!
Sasa kwa Dar utasubiri mpaka lini? We Mamdenyi, nawe utazeeka labda kama uko safi kifedha hayo hutayapata uzeeni mrembo!
Pole slip of mind! huwa nawachanganya. Kwanza wazee wengine tu wakorofi, kila mmoja tutabeba mizigo yetu!
Kwahyo wewe ungesimama?
Anaruhusiwa kukaa na ni jambo jema mtoto naye akakaa kwenye kiti lakini heshima ni jambo jema, hapa namaanisha mzazi anamlipia kiti mtoto huku mzee amesimama, kwanini asimpakate au kumwambia mkubwa akae kwenye siti na kumpakata mtoto? heshima haiendi na wakati mkuu.
Heshima ni kupishwa siti tu?
Siku zote mwanamke ndiye mlezi wa kwanza wa mtoto. Hii maana yake ni kwamba mtoto mdogo mara nyingi anashinda na mama yake na ndiye anayetegemewa kumfundisha mtoto kipi chema na kipi kibaya ili aweze kujua kutokana na ugeni wake na uchanga wa ubongo wake.
Lakini cha wamama hawafanyi hivyo badala yake wanamuacha mtoto apambane na mazingira mageni kwake! nimeshudia wazazi wanawalipia siti watoto wao huku wazee wakisimama, mtoto unategemea ajifunze nini hapo? tubadilike jamani.
Sitokuja kupisha wazee siti tena coz kuna mzee nlishampisha siti hata hakusema asante kudadeki
Ss kawaponza wazee wenzake wote aisee
samahani na wewe ulikuwa na siti au umesimama, mm Konda angerudisha Nauli kwani mtoto ana haki zote, Kupendwa matibabu na Uhuru wa kujielezaKuna siku nilipanda daladala na mdogo wangu, nikamkalisha kwenye seat nikamlipia nauli ya mtu mzima Gari lilishona, konda akataka dogo ampishe mtu akae, nilitamani kumchapa makofi
sawa lkn km na mm nipo ndani ya Daladala kweli HUMPAKATI Mwanangu ntampakata mwenyewehapa namaanisha mzazi anamlipia kiti mtoto huku mzee amesimama, kwanini asimpakate au kumwambia mkubwa akae kwenye siti na kumpakata mtoto? heshima haiendi na wakati mkuu.
samahani na wewe ulikuwa na siti au umesimama, mm Konda angerudisha Nauli kwani mtoto ana haki zote, Kupendwa matibabu na Uhuru wa kujieleza
sawa lkn km na mm nipo ndani ya Daladala kweli HUMPAKATI Mwanangu ntampakata mwenyewe
Hii Mkuu ilishanitokea mata nyingi, Binti wangu wa miaka 3 tulikaa naye siti ya watu wa2 nikampakata nikiwa na jaa mwingine na kwa vile dirishani kwenye daladala ilibidi mm nisimame mtoto akae ili aridhike
Safari zenyewe za Town hata dk 10 haziishi acheni watoto wakae waliokosa wasubiri usafiri mwingine lkn km ni Mwanafunzi nakubai ni kijana asimame tu na kupisha Wajawazito na vikongwe
Imagine na foleni ambavo haitembei umpishe mtu akae ngumu aisee
Mkuu sio kuiga uzungu tunastahili kufikiria haya tukiwa na umri wa ujana hasa kwa watunga sera, wenzetu wanajithamini kwa kuweka mifumo mizuri hata wakizeeka, mfano la siti zao maalum kwenye mabasi au hata vituo vyao vya kuwahudumia, Huku kwetu ni kula ujana tu yambele yatajisumbukia yenyeweLakini rafiki kama umekwenda Ulaya, watu wazima wanawapisha watoto. Infact huwa wanatushangaa wakiona umekaa kwenye kiti mtoto amesimama, huwa wanaku-point wanacheka! Labda utasema tusiige mila za kizungu. Nakumbuka hapo zamani labda na sasa baba ndiye anakula mboga nyingi kuliko watoto! Sikatai wazee wapishwe/tupishwe na vijana na si watoto in the sense ya watoto.......Let us hope the RBT yatakuwa na provision ya seats za wazee!
kachanganya madea tu huyo
Mkuu sio kuiga uzungu tunastahili kufikiria haya tukiwa na umri wa ujana hasa kwa watunga sera, wenzetu wanajithamini kwa kuweka mifumo mizuri hata wakizeeka, mfano la siti zao maalum kwenye mabasi au hata vituo vyao vya kuwahudumia, Huku kwetu ni kula ujana tu yambele yatajisumbukia yenyewe