Watoto kama hawa unawafanyaje?

Watoto kama hawa unawafanyaje?

Nisamehe kama nimekukwaza, Hum ndani tupo watu wenye akili tofauti na ndio maana kuna majukwaa tofauti na si kila mwanamke ana kiwango cha kufikiri kama changu (usijumuishe)...kuna wanawake wanashinda jukwaa la siasa, jamii inteligence,sports e.t.c Kama unaona mada sio level yako pita kimyakimya nenda kwenye mada zinazolingana na upeo wako....
NB: Siku uliyoanza kuniheshimu hukuniambia na leo umeacha hukuwa na sababu ya kuniambia na sikuwa napata hata senti mbovu kutokana na heshima yako kwangu....


acha naye huyu ana stress za maisha amemua kuja kukupumzikia...who cares!!!
 
kitu cha kwanza nitawapeleka hospitali nijue kiasi cha rangi walichobugia la pili na la msingi nitawapeleka bording VETA
 
upeo wa wanawake utaona ktk vitu wanavyopost o kujadili
#nilkuwa nakuheshim lakin sikuheshimu tena!

Nimeamua kuchangia post hii kwa sababu ya maneno yako ya kipuuzi. Huna sababu ya kumuheshimu maana wewe huna heshima na hakuna mtu anayetegemewa kuheshimiwa eti kwa sababu ya post aliyoweka. Sasa mimi nimekudharau na utanganyika wako wa kujipachika labda ungesema mtoa post kakosea wapi.
 
Back
Top Bottom