Watoto kama hawa unawafanyaje?

Watoto kama hawa unawafanyaje?

Umenikumbusha mwaka 1993 mzee mmoja aliajiri mafund wapake rangi nyumba yake mpya katika makazi yake. Baada mafubdi kumaliza kupaka rangi na rangi ikabaki jamaa wakaamua kupaka rangi tena kila kitu kilichokuwa kwenye nyumba kukuu, rangi ikabaki tena jamaa wakakamata watoto wa bosi umri kama wa hao kwenye picha juu wakawapaka rangi wakifiriki kuwa wanatumia vizuri rangi eti isitupwe.
Bos alipokuja akapokelewa na wanae wakiwa in white color jamaa aliwaka utadhani kifaru kajeruhiwa kwa risasi
 
beki tatu atanitambua kwa kweli....atanieleza alikua wapi had watoto wanafanya huu uharibifu
 
Umenikumbusha mwaka 1993 mzee mmoja aliajiri mafund wapake rangi nyumba yake mpya katika makazi yake. Baada mafubdi kumaliza kupaka rangi na rangi ikabaki jamaa wakaamua kupaka rangi tena kila kitu kilichokuwa kwenye nyumba kukuu, rangi ikabaki tena jamaa wakakamata watoto wa bosi umri kama wa hao kwenye picha juu wakawapaka rangi wakifiriki kuwa wanatumia vizuri rangi eti isitupwe.
Bos alipokuja akapokelewa na wanae wakiwa in white color jamaa aliwaka utadhani kifaru kajeruhiwa kwa risasi

mmmhhh hii hadithi huwa naisikia....ni kweli ilitokea?
 
upeo wa wanawake utaona ktk vitu wanavyopost o kujadili
#nilkuwa nakuheshim lakin sikuheshimu tena!

Nisamehe kama nimekukwaza, Hum ndani tupo watu wenye akili tofauti na ndio maana kuna majukwaa tofauti na si kila mwanamke ana kiwango cha kufikiri kama changu (usijumuishe)...kuna wanawake wanashinda jukwaa la siasa, jamii inteligence,sports e.t.c Kama unaona mada sio level yako pita kimyakimya nenda kwenye mada zinazolingana na upeo wako....
NB: Siku uliyoanza kuniheshimu hukuniambia na leo umeacha hukuwa na sababu ya kuniambia na sikuwa napata hata senti mbovu kutokana na heshima yako kwangu....
 
Back
Top Bottom