mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
MTOTO ANA SIRI..
.
MTOTO: Mama jana baba alikuja na dada mzurii akamvua nguo huku akimuita beibi...
.
BABA: Unaongeaje na chakula mdomoni.. Funga mdomo pumbafff mkubwa wewe..
.
MAMA: Endelea mwanangu. enheee.. Wakafanyaje mwanangu????.
.
MTOTO: Wakafanya kama mlivyofanya na anko J siku ile baba alikuwa safarini.
.
MAMA: Umeshaambiwa usiongee na chakula mdomoni pumbavvvvv wewe..
.
USINIULIZE KILICHOFUATA MAANA MMH..
Add me facebook.com/felixjustinefelix kwa vichekesho zaidi...