nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
hapo kwenye kukomoana hapo,...mnh...Mwj1 pamoja na mapenzi yangu kwako, kina mama wengi wamejaaliwa hilo.
Kuna kina mama wachache waliojaaliwa mioyo ya huruma, mfanoi weye Mwj1 wangu, ...lol...(ulishaanza kununa ee?)
BJ mzima?
RR got 2 kids to take care of....
Thanx for the compliment....ila not that wise....
Ila ikija maamuzi kuhusu watoto wangu nitawalinda kwa nguvu zote....hata ikimaanisha kupindisha misimamo yangu!
Nimekumbuka kisa kimoja. Kuna kijana ameoa mzungu. Mzungu yuko Ok sana ana kazi ya maana kweli kweli na ni dada kijana. Sasa huyo kijana alizaa na binti akiwa secondari. Kwa sasa jamaa anaishi nje ya nchi. Alimwahidi yule binti alozaa nae kuwa atamuoa akimaliza masomo yake but bahati mbaya au nzuri kijana kapata dada wa kidhungu kaoa. Sasa shughuli ni kwamba yule binti alozaa nae amegoma kata kata kumruhusu kijana amchukue mtoto aende kuishi nae majuu. Basi yule mke wa jamaa (mdhungu) kamwambia jamaa basi si neno tumwamishe mtoto akasome international school hapo hapo Tz. Binti bado kaweka ngumu anasema eti huyu mtoto atasoma hapa hapa kijijini saint kanumba kwani ndizo zilizomsomesha baba yake. Yani wamechanganyikiwa kwani kijana anaona life ya mwanae (tena wa kiume) inaharibika hivi hivi kwa ligi ya mamake kisa alitaka amuoe kamuacha kwenye mataa. Hata kumuona mtoto inawabidi waende shule kwani mama yake hataki na amesema atawarogelea mbali. Nilicheka sana mdhungu anaongelea kurogwa.
(mdhungu ni shoga yangu ndiye aliyenipa details si kijana)
Haaaaaaaa! nakusemelea kwa Babu Asipirini akupige bani...ndo nn mambo ya behind the scenes ukayaweka jamvini?Babuuuuuu!...uyu Ex Mtakatifu ananchokozaaa...Wakichachua wapeleke kwa pau.....kudaadeki...waone kilichomtoa kanga manyoya....Kuhusu hilo swali lako....Mara nyingi ni ubinafsi....japo yawezekana baba akawa amepoteza uwezo wa kuwa baba! Hizo kazi ya utktf nimezistaafu asee....ila mbona ulikana ile mimba ya mtoto wa grini eka?
Manda ni mjukuu kwa Babu Asipiri...ntashangaa ka' utanirushia mkongojo wako Babu...mm na ww utani kwenda mbele.WARNING: Una kila dalili za kumpoteza 'mwanao' wa ubatizo..yaelekea hizi sredi topic anazoanzisha zinaelezea matatizo aliyonayo...one.....two....am counting.Aisee we dogo hili dhalilisho kama la Bi. Shelukindo......... nahesabu 1.............. 2................
Sema neno moja tu uone kazi ya babu ODM!Haaaaaaaa! nakusemelea kwa Babu Asipirini akupige bani...ndo nn mambo ya behind the scenes ukayaweka jamvini?Babuuuuuu!...uyu Ex Mtakatifu ananchokozaaa...
Aisee umenifumbua macho.......... ngoja niisome kwa makini sredi ya shetani mtakatifu..... am reading........Manda ni mjukuu kwa Babu Asipiri...ntashangaa ka' utanirushia mkongojo wako Babu...mm na ww utani kwenda mbele.WARNING: Una kila dalili za kumpoteza 'mwanao' wa ubatizo..yaelekea hizi sredi topic anazoanzisha zinaelezea matatizo aliyonayo...one.....two....am counting.
Najua wengi wetu mmeshawahi kushuhudia au kuishi ndani ya ‘single parenting'……ama maisha ya magomvi muda wote….namaanisha kuwa mzazi kati ya migongano ya kimahusiano….
Mimi (ex. st) RR nawashauri ‘single parents' (wale walio kwenye magomvi)
Kumbukeni....mzazi wa mwanao akipata maumivu….basi hayo maumivi yanamfikia mtoto…in some ways!
- waache kutumia watoto kama zana ya kupigania uhusiano wao….. au kama kifaa cha kumwadhibu mzazi mwenzake….(hapa wengine hata hupandikiza chuki kwa watoto dhidi ya uapande wa pili).
- waache ubinafsi katika kufanya maamuzi yahusuyo watoto….sio vizuri mzazi akaruhusu mtoto akakaa na mzazi mwengine, hata kama kisheria mzazi huyu ana uwezo wa kung'ang'ania …as long as it is of best interest to the kid….mfano sioni ulazima wa baba kumchukua mtoto kwa kisingizio cha mtoto kutimiza miaka saba ya kisheria au mama kukataa mtoto asikae na baba kwa akisingizia mtoto hajatimiza miaka saba!
Ni ushauri tu!
Sema neno moja tu uone kazi ya babu ODM!
Aisee umenifumbua macho.......... ngoja niisome kwa makini sredi ya shetani mtakatifu..... am reading........
Kuna tukio kama hili:
Baada ya binti kumaliza chuo kikuu, mama yake akamwambia binti akamuonyeshe baba yake halisi......... Yaani mida yote amekaa na mtu akidhania ni baba yake kumbe si baba yake. Imagine!......... ngoja nisiendelee manake chozi laweza kunitoka bure....
Mheshimiwa moskwito..... kibaya zaidi baba naye alikuwa anajua kuwa yule ni binti yake.... aliuziwa mimba!...... Hili liliibuka baada ya baba kukorofishana na mama na bahati mbaya binti akawa upande wa baba yake.......... akashangazwa kuambiwa baadae kuwa yule anayemtetea wala si baba yake, na kama vipi wajipange ampeleke kwa baba yake halisi ili ahuhudie alivyo "gentleman" kuliko huyo aliyefikiri ndo baba yake...............kilichotokea, naogopa kukiweka hadharani hapa... waweza kulia aisee!
Well well well....... binti akawa konfyudi. Akakaa nalo yapata mwezi uzalendo ukamshinda, akafanya kosa moja kubwa mbalo sijui kama alipata muda wa kulijutia.......akamvaa baba yake "mlezi" kumuuliza...... Aisee nyie watu ngoja niishie hapa, Moskwito tishu haizitasaidia sana.....
Mwj1, kwa mara nyingine tena ninakurudisha kwenye mfano wa Aspirin.
Mama mtu akiamua kumchapia mzazi mwenziwe kwa kumtumia mtoto,
miaka ikishapita asiitumie bakora hiyo hiyo kuwaadhibu wengine,...sio busara!
msome Aspirin.
Aspirin weka yaliyojiri, nishaandaa tissues hapa...
Hivi huyu kijana kumbe bado siyo?Hommie hii thredi ni out of context kwa Manda.......kakurupuka kuchangia......
Back to topic....Nina hasira na mijitu inayotesa watoto kwa ubinafsi......kumbaf!
Well well well....... binti akawa konfyudi. Akakaa nalo yapata mwezi uzalendo ukamshinda, akafanya kosa moja kubwa mbalo sijui kama alipata muda wa kulijutia.......akamvaa baba yake "mlezi" kumuuliza...... Aisee nyie watu ngoja niishie hapa, Moskwito tishu haizitasaidia sana.....
Hivi huyu kijana kumbe bado siyo?
Understood......... lets play low profile.......Mbado sana asee.....anadhani maisha ya kulea lelemama.....
Khekheeeeee! usimsikilize huyu Babu ODM....hii inaitwa Commercial break...ata kwa luninga ipo..BTW anahangaika tu apa, trying to sympasize na nyie wadau, mm nina dossier files zake zoote...RR...harooo harooo harooo! nakupa LAST WARNING bfr kukufurumusha.... heshimu kiti cha shemejio.Back to the topic: Vp, mwanao wa nyumba ndogo Kishumundu ushamchukua aft kushinda kesi ustawi wa jamii?..damn u...!Hivi huyu kijana kumbe bado siyo?
Well well well....... binti akawa konfyudi. Akakaa nalo yapata mwezi uzalendo ukamshinda, akafanya kosa moja kubwa mbalo sijui kama alipata muda wa kulijutia.......akamvaa baba yake "mlezi" kumuuliza...... Aisee nyie watu ngoja niishie hapa, Moskwito tishu haizitasaidia sana.....
Aisee!Khekheeeeee! usimsikilize huyu Babu ODM....hii inaitwa Commercial break...ata kwa luninga ipo..BTW anahangaika tu apa, trying to sympasize na nyie wadau, mm nina dossier files zake zoote...RR...harooo harooo harooo! nakupa LAST WARNING bfr kukufurumusha.... heshimu kiti cha shemejio.Back to the topic: Vp, mwanao wa nyumba ndogo Kishumundu ushamchukua aft kushinda kesi ustawi wa jamii?..damn u...!
ehhh? aliuliwa nini?
Hapo mbele ya bold ilipaswa niendeleze sentensi "mbele ya baba yake mlezi"......... Haya mambo yanatisha jamani, na yanaliza.Well well well....... binti akawa konfyudi. Akakaa nalo yapata mwezi uzalendo ukamshinda, akafanya kosa moja kubwa mbalo sijui kama alipata muda wa kulijutia.......akamvaa baba yake "mlezi" kumuuliza...... Aisee nyie watu ngoja niishie hapa, Moskwito tishu haizitasaidia sana.....