Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Jan 7, 2016 Thread starter #41 Amorbwoy said: Napitaaa tu Click to expand... Usipite kimya kimya bro...tia neno. Black fire said: Dah. Hiki kisa cha Victor kimenisikitisha. Ila nmejifunza jambo hapo Click to expand... Tushirikishe ulilojifunza mkuu
Amorbwoy said: Napitaaa tu Click to expand... Usipite kimya kimya bro...tia neno. Black fire said: Dah. Hiki kisa cha Victor kimenisikitisha. Ila nmejifunza jambo hapo Click to expand... Tushirikishe ulilojifunza mkuu
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Jan 7, 2016 Thread starter #42 everlenk said: Mentor hii ya leo kama nimevurugwa hapo mwishoni mzee Izadin ndo ana watoto 18? Victor yy hakuomba watoto 100? Victor ameingiaje hapo? Au mzee Izidan alikuwa ndo anakusimulia? Mhhhhh nieleweshe na mimi nielewe..... Click to expand... Nilikuwa napiga stori na mzee Izadin. Yeye ndo alinielezea alimwomba Mungu watoto 100 na kwamba mpaka sasa anao 12. Wakati akinielezea kuwa riziki hapangi binadamu ndo nikkumbuka kisa cha kaka yangu, Victor. Baadaye akanirudisha kwenye stori yake...
everlenk said: Mentor hii ya leo kama nimevurugwa hapo mwishoni mzee Izadin ndo ana watoto 18? Victor yy hakuomba watoto 100? Victor ameingiaje hapo? Au mzee Izidan alikuwa ndo anakusimulia? Mhhhhh nieleweshe na mimi nielewe..... Click to expand... Nilikuwa napiga stori na mzee Izadin. Yeye ndo alinielezea alimwomba Mungu watoto 100 na kwamba mpaka sasa anao 12. Wakati akinielezea kuwa riziki hapangi binadamu ndo nikkumbuka kisa cha kaka yangu, Victor. Baadaye akanirudisha kwenye stori yake...
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Jan 7, 2016 #43 Mentor said: Nilikuwa napiga stori na mzee Izadin. Yeye ndo alinielezea alimwomba Mungu watoto 100 na kwamba mpaka sasa anao 12. Wakati akinielezea kuwa riziki hapangi binadamu ndo nikkumbuka kisa cha kaka yangu, Victor. Baadaye akanirudisha kwenye stori yake... Click to expand... Asante sana siku hizi Riwaya ngumu ngumu hatuziwezi tena.....Okey kweli Riziki anapanga Mungu, na mipango siyo matumizi
Mentor said: Nilikuwa napiga stori na mzee Izadin. Yeye ndo alinielezea alimwomba Mungu watoto 100 na kwamba mpaka sasa anao 12. Wakati akinielezea kuwa riziki hapangi binadamu ndo nikkumbuka kisa cha kaka yangu, Victor. Baadaye akanirudisha kwenye stori yake... Click to expand... Asante sana siku hizi Riwaya ngumu ngumu hatuziwezi tena.....Okey kweli Riziki anapanga Mungu, na mipango siyo matumizi
Malaika Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 902 Reaction score 909 Jan 8, 2016 #44 Mentor said: Nilikuwa napiga stori na mzee Izadin. Yeye ndo alinielezea alimwomba Mungu watoto 100 na kwamba mpaka sasa anao 12. Wakati akinielezea kuwa riziki hapangi binadamu ndo nikkumbuka kisa cha kaka yangu, Victor. Baadaye akanirudisha kwenye stori yake... Click to expand... MentaAaaaaaaaaaaa
Mentor said: Nilikuwa napiga stori na mzee Izadin. Yeye ndo alinielezea alimwomba Mungu watoto 100 na kwamba mpaka sasa anao 12. Wakati akinielezea kuwa riziki hapangi binadamu ndo nikkumbuka kisa cha kaka yangu, Victor. Baadaye akanirudisha kwenye stori yake... Click to expand... MentaAaaaaaaaaaaa
Malaika Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 902 Reaction score 909 Jan 8, 2016 #45 Mentaaaaaaaaaaa much respect napendaasaana unavyomalizaga Assassin
Malaika Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 902 Reaction score 909 Jan 8, 2016 #46 Wasalamu wapendwa mentaaa
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Jan 8, 2016 #47 Watoto 100 baba yao atakufa kwa ukimwi
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Jan 8, 2016 Thread starter #48 mwekundu said: Watoto 100 baba yao atakufa kwa ukimwi Click to expand... Kupata UKIMWI mpaka ulogwe mkuu!
mwekundu said: Watoto 100 baba yao atakufa kwa ukimwi Click to expand... Kupata UKIMWI mpaka ulogwe mkuu!
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Jan 8, 2016 #49 Mentor said: Kupata UKIMWI mpaka ulogwe mkuu! Click to expand... Sio kuchapa kavu tena siku hizi?
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Jan 8, 2016 Thread starter #50 mwekundu said: Sio kuchapa kavu tena siku hizi? Click to expand... UKIMWI ungekuwa unapatikana kirahisi leo hii tusingekuwa nao kina Nicas Mtei Mtambuzi Mr Rocky arusha 1 Watu8 KakaKiiza Kipaji Halisi babu Asprin Dark City to mention but a few. Ukiona umeupata jua umelogwa na mtu! Na hivi dawa imepatikana...
mwekundu said: Sio kuchapa kavu tena siku hizi? Click to expand... UKIMWI ungekuwa unapatikana kirahisi leo hii tusingekuwa nao kina Nicas Mtei Mtambuzi Mr Rocky arusha 1 Watu8 KakaKiiza Kipaji Halisi babu Asprin Dark City to mention but a few. Ukiona umeupata jua umelogwa na mtu! Na hivi dawa imepatikana...
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,106 Jan 8, 2016 #51 Mentor said: UKIMWI ungekuwa unapatikana kirahisi leo hii tusingekuwa nao kina Nicas Mtei Mtambuzi Mr Rocky arusha 1 Watu8 KakaKiiza Kipaji Halisi babu Asprin Dark City to mention but a few. Ukiona umeupata jua umelogwa na mtu! Na hivi dawa imepatikana... Click to expand... UKIMWI ni nini? hamnaga hiyo kitu. ingekupata wewe au Mike Mushi ningekubali uwepo wa ugonjwa huo
Mentor said: UKIMWI ungekuwa unapatikana kirahisi leo hii tusingekuwa nao kina Nicas Mtei Mtambuzi Mr Rocky arusha 1 Watu8 KakaKiiza Kipaji Halisi babu Asprin Dark City to mention but a few. Ukiona umeupata jua umelogwa na mtu! Na hivi dawa imepatikana... Click to expand... UKIMWI ni nini? hamnaga hiyo kitu. ingekupata wewe au Mike Mushi ningekubali uwepo wa ugonjwa huo
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,660 Jan 8, 2016 #52 So sad..... Ila huyo wife wa Victor ana roho ngumu.....Anakataa damu yake?
Isumbwile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2012 Posts 801 Reaction score 362 Jan 11, 2016 #53 Uko vizuri mkuu, jaribu kuandika story book hivi, dont let this talent go to waste Mentor
Nicodemas Tambo Mwikozi JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 663 Reaction score 1,047 Aug 29, 2016 #54 Ha ha ha ha sasa mentor lohi
kareem kim JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 505 Reaction score 791 Nov 17, 2017 #55 Nimejifunza kitu hapa
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Oct 5, 2019 Thread starter #56 brenda18 said: Teh, Mentor katika ubora wako...story nzuri japo haijamaliziwa.. Click to expand... Njoo nikupe mwisho wa mkasa aisee.
brenda18 said: Teh, Mentor katika ubora wako...story nzuri japo haijamaliziwa.. Click to expand... Njoo nikupe mwisho wa mkasa aisee.
brenda18 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 5,687 Reaction score 5,297 Oct 5, 2019 #57 Mentor said: Njoo nikupe mwisho wa mkasa aisee. Click to expand... unafukua makaburi