watokao loliondo...... hii imekupata?

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
1,054
Reaction score
170
Inasemekana ukitoka kwa babu lazima uharishe'uendeshe' sana.
Babu anasema hapa ndio unatoa sumu mwilini!

Jamani mliotoka huko tupeni majibu.
 
aaa wapi, hakuna kitu kama hiyo unless umeshaitengeza kwa brain yako.

mimi nimekunywa last week na sijaona hilo unalotaja
 
Inasemekana ukitoka kwa babu lazima uharishe'uendeshe' sana.
Babu anasema hapa ndio unatoa sumu mwilini!

Jamani mliotoka huko tupeni majibu.

Kwanini usiharishe, vinyesi kila kona!! Primitive society!!
 
The holly rumours although crap by the way.
 
Muulize mnajimu wa nyota maana na yeye alienda na pia anajisifia kuwa alimtabiri babu na matibabu yake
 
Inasemekana ukitoka kwa babu lazima uharishe'uendeshe' sana.
Babu anasema hapa ndio unatoa sumu mwilini!

Jamani mliotoka huko tupeni majibu.

aaaaagh kumbe nilisahau kusoma ID name yako "NDO MAANA UNA MAWAZO KAMA HAYA":lol::lol::lol::lol:
 
Watu wameharisha mpaka serikali imesitisha huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…