N Ne Mbwitu JF-Expert Member Aug 23, 2020 275 802 Sep 26, 2020 #1 Wale watia nia tulioshinda lakini tukapigwa chini kimazabemazabe tuna jambo letu 28/10. Wale wajumbe mliotuunga mkono tuna jambo letu 28/10 mtuunge mkono.
Wale watia nia tulioshinda lakini tukapigwa chini kimazabemazabe tuna jambo letu 28/10. Wale wajumbe mliotuunga mkono tuna jambo letu 28/10 mtuunge mkono.
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 48,929 54,142 Sep 26, 2020 #2 Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure Muda Mrefu Sana Amekuwa Akiwatazama Tu
Benaya- JF-Expert Member Jul 31, 2019 4,417 7,608 Sep 26, 2020 #3 Kennedy said: Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure Muda Mrefu Sana Amekuwa Akiwatazama Tu Click to expand... Kuna watu walikufa na presha alipobomoa nyumba zao Kimara, kwa hiyo presha haina ugeni wowote ikimtembelea
Kennedy said: Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure Muda Mrefu Sana Amekuwa Akiwatazama Tu Click to expand... Kuna watu walikufa na presha alipobomoa nyumba zao Kimara, kwa hiyo presha haina ugeni wowote ikimtembelea
A a4apple JF-Expert Member Jul 30, 2015 927 1,131 Sep 26, 2020 #5 Babati said: Lazima tuwanyooshe Click to expand... Kazi ipo