Watia nia majimbo ya Moshi mjini, vijijini, Vunjo na Rombo

CORONAZ

Senior Member
Apr 26, 2020
181
337
Wanajamvi,

Kama mdau nilieko mbali na eneo la tukio lakini mwenye hamu ya kupata taarifa za maandishi na picha na wakati mwingi wasifu wa wateuliwa wa majimbo hayo; nimeona niweke hili jamvi hewani ili tujuzane kinachoendelea kutoka vyama vya siasa ndani ya majimbo hayo ya uchaguzi.

Hebu wenye taarifa watupe tuchambue hapa kwa uwazi bila jazba wala matusi.
 
Back
Top Bottom