Yule mzee alijenga CCM na katiba zote na maazimio yote ni mazao ya Kingunge. Yule mzee kafariki kwa majonzi sana, think the way he did for these f....cking crooked called CCM and their bashing......Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia.
Kwa kweli na mie nashangaa, mfano kama juzi kapilima na kagurumjuli wanakwepaje hapa kwani wao ndio walioanzisha hili valangati, halafu unaenda kamata watu wa kati, ninavyoona 2020 serikali ijiandae kuua halaiki, kwani sie wa mikoani tushaon aJe, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.
Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.
Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.
Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
Wanaiogopa CHADEMAAAAA mkuuu wanatetemekeaaaaJe, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.
Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.
Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.
Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
Point mkuu, wao wamewaganda chadema, wakati chadema wao ni wa mwisho kabisa, nineona uzi huku kaka 1 aliyekumbwa na hii kadhia akidai alishuhudia hayo maandamano, askari walipiga risasi sehemu ya akina mbowe na ule upande mwingine hata mabomu hayakupigwa, ina maana walimkusudia wamtoe roho, na hat hivyo anadai wakati akiwa amejificha saloon 1 ya kike ambapo wengi walikuwepo, aliwasikia askari wakitamka huyu mbowe kaponyokaje, ina maana walimkusudia mbowe na walishapata go ahead wamtoe roho, mbaya zaidi nimeona uzi mwingine ukisema kuwa askari wameenda sehemu alizopotelea mbowe na kuuliza nyumba 1 hadi nyingine kuwa nani alimficha mbowe, nimebaki nashangaa sana kwa hili wanalotaka kufanyaHili suala laki la kupigwa risasi lazima wote hawa wahojiwe:
1.Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni- kushindwa kutoa barua kwa wakati
2. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni- kushindwa kuthibiti maandamano ya amani
3. Viongozi wa Chadema- kujiridhisha kama walihamisisha maandamano ya wananchi na kama walikuwa na silaha
Ili kuleta uwiano wote hawa waathibiwe wote
Kwa kuua wasio na hatia, kubambikizia watu kesi, kwa wizi wa kura?Mulikuwa munasema JK dhaifu sasa malipo duniani hapa hapa kudadeki!!
Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.
Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.
Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.
Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
Unggejua siri ya mtungi baba wala usingesema, watu wanatishiwa kutolewa roho, ukigoma hongo unapewa jibu 1 tu, hutaki unauwawa, watu wana familia nani atazilea, ukigoma unafanywa kama diwani wa hananasifuUnasema wananchi wanaichoka CCM wakati ni CCM hiyo hiyo inazidi kuwapokea wanachama wa Chadema wakijiunga nayo,huo utafiti wako umeufanyia wapi? Pambana na hali yako
Unasema wananchi wanaichoka CCM wakati ni CCM hiyo hiyo inazidi kuwapokea wanachama wa Chadema wakijiunga nayo,huo utafiti wako umeufanyia wapi? Pambana na hali yako
Du, mkuu yote yanayofanyika nchini mpaka viongozi wa dini wanaingilia kati unaona ni poa tu, aisee daahHILO LICHAMA LINAENDESHWA NA MAJAZBA NA MIHEMKO NA WAPIGA DILI...PESA ZA LOWASA MLIZOTUMIA WAKATI WA UCHAGUZI 2015 ZIMEKWISHA, SASA JUA KALI MPAKA MFUKONI DADAKI, NA BADO...
MMEGUSA MBONI YA JICHO LA MUNGU KWA KUTAFUTA KUONDOA AMANI NCHINI KWETU TANZANIA.....AMIN AMIN AMIN NAWAAMBIA HASIRA ZA MUNGU MKUU ZIKO JUU YENU MILELE; MTAUZA CHUMVI WAKATI WA MVUA NA MTAUZA SIAGI WAKATI WA JUA, KABLA HAMJAPANGA MAANDAMANO YA FUJO MTAKUWA MNAITWA KWENYE MISIBA YA WATOTO WENU; MWENYE MASIKIO MA AYASIKIE!
Hee.....kumbe viongozi siyo wananchi,ina maana viongozi wameshushwa hawakutokana na wananchi, la haulaaaa.....!!!!!! na hao wananchi 272 waliojiunga juzi na CCM kutoka vyama vya upinzani huko Kondoa, Loliondo na kwingineko siyo wananchi? Wewe utakuwa hauko sawaHivi wewe viongozu ndio wananchi? Tofautisha.
Hayo majungu yenu tu mbona tupo nchi hii hii lakini hatuyaoni hayo, hata hivyo yule wa Hananasifu hakuwa Diwani bali alikuwa Katibu wa Chadema wa Kata ya HananasifuUnggejua siri ya mtungi baba wala usingesema, watu wanatishiwa kutolewa roho, ukigoma hongo unapewa jibu 1 tu, hutaki unauwawa, watu wana familia nani atazilea, ukigoma unafanywa kama diwani wa hananasifu
endeleeni kuua baba endeleeni kwani mtaishi milele, 2020 jiandaeni kumwaga damu ya halaiki,Hayo majungu yenu tu mbona tupo nchi hii hii lakini hatuyaoni hayo, hata hivyo yule wa Hananasifu hakuwa Diwani bali alikuwa Katibu wa Chadema wa Kata ya Hananasifu
Na wewe uwemo ktk hiyo halaiki uuliwe tuletewe bajeti ya mazishi ya 80mendeleeni kuua baba endeleeni kwani mtaishi milele, 2020 jiandaeni kumwaga damu ya halaiki,
Hahaha hao ccm wenyewe wanaigiza. Mwananchi ajiunge ccm afuate nini?! Najua watu wanaogopa kufa lakini bila hivyo hakuna wa kujiunga na wauaji.Hee.....kumbe viongozi siyo wananchi,ina maana viongozi wameshushwa hawakutokana na wananchi, la haulaaaa.....!!!!!! na hao wananchi 272 waliojiunga juzi na CCM kutoka vyama vya upinzani huko Kondoa, Loliondo na kwingineko siyo wananchi? Wewe utakuwa hauko sawa
Hahaha mpaka ufe tukuandike humu, huwa mkishiba mna mbwembwe sanaHayo majungu yenu tu mbona tupo nchi hii hii lakini hatuyaoni hayo, hata hivyo yule wa Hananasifu hakuwa Diwani bali alikuwa Katibu wa Chadema wa Kata ya Hananasifu
Mulikuwa munasema JK dhaifu sasa malipo duniani hapa hapa kudadeki!!
Akizidi kusukuma iko siku wananchi watasukuma pia, acha avimbe kichwa kwa kuonea watu, haya uwa yana ukomo, hata punda anachoka, na akichoka hulala chini au hukimbia na kuanza kurusha mateke kujihami. Hakuna jipya chini ya jua, iko siku wataamka waliolala.Mi huwa najua mtoto huiga kwa wazazi wake, sema tu mtoto huyo kazidisha maradufu, system ya chama hiyo, huyu kawazidi tu wenzake wote
Huyo Mungu asikilize pumba hizi ulizotapika hapa? Labda si Mungu nimjuaye.HILO LICHAMA LINAENDESHWA NA MAJAZBA NA MIHEMKO NA WAPIGA DILI...PESA ZA LOWASA MLIZOTUMIA WAKATI WA UCHAGUZI 2015 ZIMEKWISHA, SASA JUA KALI MPAKA MFUKONI DADAKI, NA BADO...