Wateule wa Serikali wanaionea CHADEMA

Wateule wa Serikali wanaionea CHADEMA

Mafwi Munda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
1,750
Reaction score
1,605
Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.

Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.

Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.

Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
 
Viongozi wa Chadema kuitwa na kuhojiwa na mteule wa ccm pia siyo sawa kisheria. Hawawezi kutendewa haki.
 
Mhhh mimi kwa mawazo yangu hakuna haja ya kufuta vyama kwa kuwa hamkubaliani,kwani ndio msingi wa vyama hivyo kuwepo hadi vikasajiliwa,Vyama vya siasa sio NGO,madhumuni ni kutwaa dola.
 
Hahaha huwezi ku survive kwa kusajiliwa tu, nguvu ya ziada inaitajika kusonga mbele.
Anayekusajili ndiye mpinzani/hasimu wako mkuu, akiona unamshinda nguvu anatishia kukufuta. Haiwezekani lazima utumie njia na silaha zote kupigania uwepo wako.
 
Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.

Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.

Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.

Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania

Hili suala laki la kupigwa risasi lazima wote hawa wahojiwe:

1.Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni- kushindwa kutoa barua kwa wakati
2. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni- kushindwa kuthibiti maandamano ya amani
3. Viongozi wa Chadema- kujiridhisha kama walihamisisha maandamano ya wananchi na kama walikuwa na silaha
Ili kuleta uwiano wote hawa waathibiwe wote
 
Wateule wa mwenyekiti wa ccm taifa watahojiwa na nani?! IGP mteule wa mwenyekiti wa ccm taifa, DPP mteule wa mwentekiti wa ccm, AG mteule wa mwenyekiti wa ccm, jaji mkuu mteule wa mwenyekiti wa ccm. Wote wanatekeleza maagizo ya boss wao. Chadema wanaonewa hawawezi kupata haki humu nchini.
 
Hao unaosema wanapokea maagizo kutoka juu.hawana la kusema wala kupinga.dab ndyo mratibu wa hayo maagizo.
 
Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.

Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.

Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.

Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
Unasema wananchi wanaichoka CCM wakati ni CCM hiyo hiyo inazidi kuwapokea wanachama wa Chadema wakijiunga nayo,huo utafiti wako umeufanyia wapi? Pambana na hali yako
 
HILO LICHAMA LINAENDESHWA NA MAJAZBA NA MIHEMKO NA WAPIGA DILI...PESA ZA LOWASA MLIZOTUMIA WAKATI WA UCHAGUZI 2015 ZIMEKWISHA, SASA JUA KALI MPAKA MFUKONI DADAKI, NA BADO...
MMEGUSA MBONI YA JICHO LA MUNGU KWA KUTAFUTA KUONDOA AMANI NCHINI KWETU TANZANIA.....AMIN AMIN AMIN NAWAAMBIA HASIRA ZA MUNGU MKUU ZIKO JUU YENU MILELE; MTAUZA CHUMVI WAKATI WA MVUA NA MTAUZA SIAGI WAKATI WA JUA, KABLA HAMJAPANGA MAANDAMANO YA FUJO MTAKUWA MNAITWA KWENYE MISIBA YA WATOTO WENU; MWENYE MASIKIO MA AYASIKIE!
 
Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.

Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.

Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.

Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
Hawatafanikiwa kamwe!!!!
 
Unasema wananchi wanaichoka CCM wakati ni CCM hiyo hiyo inazidi kuwapokea wanachama wa Chadema wakijiunga nayo,huo utafiti wako umeufanyia wapi? Pambana na hali yako
Wanatafuta ku survive, waliisha gundua kama huna kazi unajiunga na chadema, kisha unasubiria polepole aje, anakupa kazi pia pesa. Hata ccm wakongwe wanafahamu ccm inaundwa na chadema. Ukitoka chadema unapewa na ubunge.
 
Chadema hata ikifutwa kwenye makaratasi ya msajili itaendelea kuishi. Huyu mnyampala was barabara soon ataomba po
 
Wao wanadhani wapinzani ni viongozi wa chadema.
Wapinzani ni wananchi wanaotuita wanyonge.
 
Back
Top Bottom