Watetezi wa 'scorpion' walikurupuka


WEWE UNAYEMJUA MUNGU MJUE NA MIMI NIACHE NA DHAMBI ZANGU, NI LINI NA WAPI MWIZI WA KUKU KACHOMWA MOTO HATA HIVYO KWA NINI AIBE? ENDELEA KUTETEA UHALIFU KWA KISINGIZIO CHA DINI MAANA PAMOJA NA MIFANO YOTE UMENIONA SIJUI KITU ILA KASOME KITABU CHA WAGALATIA SURA NA AYA SIIKUMBUKI ILA UNASISITIZWA KUWA NA KIASI KWA KILA JAMBO KATIKA YALE MATUNDA TISA YA ROHO.
 

Mkuu;
Sasa huoni hapo pana tatizo?? Unaniambia nikasome kitabu cha wagalatia, kipo wapi na sura ya ngapi!!! Pole zako, ndo maana sipendi kubishana kwa sababu ya kubishana. Askante
 
Mkuu;
Sasa huoni hapo pana tatizo?? Unaniambia nikasome kitabu cha wagalatia, kipo wapi na sura ya ngapi!!! Pole zako, ndo maana sipendi kubishana kwa sababu ya kubishana. Askante

Bahati nzuri mimi siyo mwalimu wa shule ya jumapili kukariri aya hakukufanyi uwe mtakatifu unataka nikutafunie kila kitu, pole sana tuishie hapo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole kaka shemeji zangu walipigwa mzigo toroli zima kwa style hiyo! Huu mji huu Mungu anauona
mshana jr kuna audio clip inatembea katika mitandao ya Whatsapp kumhusu Mama Gwakisa alivyovamiwa na vibaka mitaa ya Msimbazi na Congo huku wameshika jisu na mwingine bisibisi kama sio ujasiri wa huyo Mama wa Kinyakyusa kugonga magari ya wenzake na vibajaj asingepona,
humu JF bado watu hawaamini Dar ya Makonda si ya kuishi
Makonda awaondoe kwanza hao vibaka asiwalee na kuwapa vizawadi, kwanza afute MACHINGA wote
Dar siji na si salama tena Kariakoo
 
Pole sana
 
Ameuwawa mwandishi kwa bom hatujasikia mamlaka yoyote kujitolea kusema labda itawasomesha hata watoto zake waliobadilishiwa mfumo wa maisha gafla kwa kuuliwa mzazi wao!!!!!leo hii kibaka kabakwa michango kibao hiii nchi sijui inaelekea wap......
 
[emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
="Nkobe, post: 18142870, member: 126268"]Alichukua pesa na mikufu
Lakini simu akaiacha?? hiyo mikufu na pesa atakuwa alipolwa na wasamalia wema waliompa msaada kwa dar hiyo kawaida sana mtu amapata ajari watu wanakimbilia mifukoni.

Nazani hilo la kusema kuwa kaporwa cheni na hera analiweka ili ionekane kuwa scorpion aliliwa kibaka maana ingeonekana jamaa hakuchukua kitu.watu wangehoji alikuwa anataka nini na ingekuwa rahisi kufika kwenye ukweli[/QUOTE]
hao wasamaria wema walishindwa kupora cm??
 
Tukio lilitokea usiku
 
Mi naendelea kuwa mshuhudiaji tu wa swala hili. Siko upande wa Scorpion wala upande wa alietobolewa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…