Kwahio mshana jr unataka kuniambia wakati wa tukio watu zaidi ya 40 hakukuwa na mwenye simu na kurekodi??[emoji15] [emoji15] wakati yule denti akipewa kichapo na walimu kuna mwanafunzi alirekodi tukio. Lakini hili la scorpion watu wote hawakuwa na muda wa kurekodi tukio??[emoji15]Hili linasemwa lakini sijajua ukweli wake japo kidogo umetoka nje ya kiini cha mada
Ndio maana najaribu kuhoji uhalisia wakeKwahio mshana jr unataka kuniambia wakati wa tukio watu zaidi ya 40 hakukuwa na mwenye simu na kurekodi??[emoji15] [emoji15] wakati yule denti akipewa kichapo na walimu kuna mwanafunzi alirekodi tukio. Lakini hili la scorpion watu wote hawakuwa na muda wa kurekodi tukio??[emoji15]
Mimi nilipo jumlisha 1 & 1 nkapata 7.Hahhahahaaaa naona watu wamejumlisha 1 na 1 wakapata 11
OIL=710 MJINI MIPANGO NA MIPANGILIO MJI[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa hapo unaweza kupata hata L Bujibuji yani saba iliyobiduka
Yaani nimecheka kwa sauti.Duu kweli aisee ndio maana kumbe kuna kiungo pendwa kila ukikaa engo fulani unakiona tofauti[emoji39] [emoji85] kweli hii mipango miji
Subiri uje ubakwe cku moja ndipo utajua kibaka ni naniUna uhakika,,au jamaa kupewa bajaj mbili na pikipiki tano na nyumba roho zimewauma kenge nyinyi,,, MNASHINDWA KUTAMBUA THAMANI YA MACHO NI ZAIDI YA ALIVYOPEWA,,hata kama alikuwa mfadhili wa vibaka,ndio ilikuwa ni haki atobolewe macho,,,acheni roho za kwann
Ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kimoja ambacho wa Tz tumekuwa maarufu nacho ni kupika uongo. Hasa aliyetobolewa macho inaonekana ni mnafiki na muongo muongo, maana haingii akilini mtu aibuke tu aje akutoe macho, lazima kuna kisababishi amabacho ukweli yeye mtobolewa macho anakijua, na malipo yake ndiyo hayo kayapata kwa kutobolewa macho.Ni sawa ila nimezungumzia kwa mtazamo wa jumla , kuondoa hiki kizungumkuti ingepaswa wawili hawa wawekwe pamoja kila mtu aongee live
Wengine tunawachomaga. Jamii imeozaUna uhakika,,au jamaa kupewa bajaj mbili na pikipiki tano na nyumba roho zimewauma kenge nyinyi,,, MNASHINDWA KUTAMBUA THAMANI YA MACHO NI ZAIDI YA ALIVYOPEWA,,hata kama alikuwa mfadhili wa vibaka,ndio ilikuwa ni haki atobolewe macho,,,acheni roho za kwann